Betri ya gari

Betri ya gari

Mikanjuni

Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
59
Reaction score
15
Naomba wabobevu wanisaidie,
Betri dry cell. Unatakiwa uishitue kwa muda gani ukiwa umepak gari kwa muda wa miezi miwili.

Je itakufa usipo ishitua.

Njia bora za kutunza betri ya gar in zip
 
Naomba wabobevu wanisaidie,
Betri dry cell. Unatakiwa uishitue kwa muda gani ukiwa umepak gari kwa muda wa miezi miwili.

Je itakufa usipo ishitua.

Njia bora za kutunza betri ya gar in zip
Angalia kwenye kioo chale kama rangi ipo green usihofu ni nzima Jambo la pili itoe kwenye gari na uhifadhi eneo zuri chini weka mbao au maboksi, ikiwa utaliacha kwenye gari wire wa moto utoe kwenye terminal.
 
Back
Top Bottom