Mkuu, pamoja na kuwa Butiku katoa upupu lakini huenda siyo yeye amemchomea. Hata hao wasaidizi waliokuwa wanakaa naye inawezakana nao wameshapotozwa. Inawezekana kabisa walitekwa kabla na kuteswa ili watoe info zote na wao wamepotezwa. Sasa tunarudi walijuaje alipo? Kwangu mimi, kukaa sehemu kama Dar ilikuwa ni very risk. Watu wakitaka ku-trace target, huwa wanafuatilia ndugu, jamaa na marafiki 24/7. Kila ndugu wa karibu, rafiki anafuatiliwa nyendo zake muda wote wakiwa na tumaini kuwa ni lazima atapeleka mahitaji au atakwenda kumuaona. Kitu kingine: Ukitumia vyombo vya electronics kama simu huko salama sana.