Sure sasa hivi wanataka jeshi ndo liwafanyie kaziNashukuru umeanza kuelewa kwanini nilikua nakwambia nyie ni waoga kama Nyumbu atachukuliwa mmoja mmoja hadi muishe kwasababu mikwara yenu inaishia mtandaoni na mmejaa unafiki, siku zote comments na likes zilikua zinajaa kwake kila akiongea kumaanisha mpo pamoja nae leo katekwa mnaishia kusema Mungu yupo, kwanini msiandamane leo hii kwaajili yake na kwaajili ya watu wengine?
Amina.Watu wote waliohusika ktk usaliti huu juu ya Humphrey Polepole na kutwa na hao watalipia kizazi hadi kizazi chao, Mtu ambae alikuwa mzalendo anapigania haki ya watanzania wanyonge halafu wewe tamaa zako za fedha au vyeo, kwa ajili watoto wako hakika utalipa.
Kama ni wewe Mzee Btk, au ni nyie wasaidizi wake, au ni wewe kwenye nyumba utalipia kwa usaliti wako huo.
Juzi tu ilikuwa unawambia vijana waache uoga ili waikombe nchi yao. Leo hii ghafla unawambia waache vurugu.
Huyu mzee either amekula bahasha au ameshinikizwa kutoa taarifa za HP, kwa vitisho vya kutekwa familia yake. Ngoja tusubili Mungu mlinde HP, popote alipo, zaburi 91: 11 Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
By mwinjilist wenu Gabeji
Mkuu wewe ni mwenye uono wa mbali kuliko wote wenye kuomba Mungu amlinde na wengineo wengi..mtu anaposema HP atakuwa hai Kwa nn saanane au mdude wasiwe hai? na je kama wameshamuua? What else? Watekaji wanajua vzr kuwa vijana wa Tanzania hawatenda mbali zaidi ya kusema free HP, wiki 2 washamsahau! Hata melo aliambiwa hilo anajuaWasaliti wa kwanza ni vijana wa tz
Inashangaza sana Kwa kweli.binafsi sielewi kwanini hamphrey alikuwa anafanya hayo akiwa hapa hapa,nimeshangaa sana.
DuWatu wote waliohusika ktk usaliti huu juu ya Humphrey Polepole na kutwa na hao watalipia kizazi hadi kizazi chao, Mtu ambae alikuwa mzalendo anapigania haki ya watanzania wanyonge halafu wewe tamaa zako za fedha au vyeo, kwa ajili watoto wako hakika utalipa.
Kama ni wewe Mzee Btk, au ni nyie wasaidizi wake, au ni wewe kwenye nyumba utalipia kwa usaliti wako huo.
Juzi tu ilikuwa unawambia vijana waache uoga ili waikombe nchi yao. Leo hii ghafla unawambia waache vurugu.
Huyu mzee either amekula bahasha au ameshinikizwa kutoa taarifa za HP, kwa vitisho vya kutekwa familia yake. Ngoja tusubili Mungu mlinde HP, popote alipo, zaburi 91: 11 Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
By mwinjilist wenu Gabeji
Dua la kuku. Naye alikuwa kilaza kama gwajima. Unasemaje yote hayo na bado unaishi tena mjini. Kumbe akina Saddam Hussein bado wapo!@Watu wote waliohusika ktk usaliti huu juu ya Humphrey Polepole na kutwa na hao watalipia kizazi hadi kizazi chao, Mtu ambae alikuwa mzalendo anapigania haki ya watanzania wanyonge halafu wewe tamaa zako za fedha au vyeo, kwa ajili watoto wako hakika utalipa.
Kama ni wewe Mzee Btk, au ni nyie wasaidizi wake, au ni wewe kwenye nyumba utalipia kwa usaliti wako huo.
Juzi tu ilikuwa unawambia vijana waache uoga ili waikombe nchi yao. Leo hii ghafla unawambia waache vurugu.
Huyu mzee either amekula bahasha au ameshinikizwa kutoa taarifa za HP, kwa vitisho vya kutekwa familia yake. Ngoja tusubili Mungu mlinde HP, popote alipo, zaburi 91: 11 Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
By mwinjilist wenu Gabeji
Usijipe matumaini yasiyokuwepol
Ngoja tusubilie mkuu, calm down
Ni mpambanaji, hana uwoga na anajua/alijua the worst thing that can happen ni kumuua sio zaidi ya hapo, he is/was ready for that, wengi wameshapoteza maisha kuanzia kina Ben saanane, Kibao, Mdude ..yana mwisho lakinibinafsi sielewi kwanini hamphrey alikuwa anafanya hayo akiwa hapa hapa,nimeshangaa sana.
Ni suala tu la muda. Kama mnataka watu waingie barabarani ili muwaue kwa wepesi, muda ni rafiki mzuri. Hata yule Hamza aliye walamba risasi mchana kweupe, na yeye imdharau kama mnavyo wadharau wananchi wengine.Nashukuru umeanza kuelewa kwanini nilikua nakwambia nyie ni waoga kama Nyumbu atachukuliwa mmoja mmoja hadi muishe kwasababu mikwara yenu inaishia mtandaoni na mmejaa unafiki, siku zote comments na likes zilikua zinajaa kwake kila akiongea kumaanisha mpo pamoja nae leo katekwa mnaishia kusema Mungu yupo, kwanini msiandamane leo hii kwaajili yake na kwaajili ya watu wengine?
Muda upi sasa? Kwahiyo unaogopa kufa? Hamna mabadiliko yanayokuja kirahisi rahisi lazima jasho na damu imwagikeNi suala tu la muda. Kama mnataka watu waingie barabarani ili muwaue kwa wepesi, muda ni rafiki mzuri. Hata yule Hamza aliye walamba risasi mchana kweupe, na yeye imdharau kama mnavyo wadharau wananchi wengine.
Mkuu, pole pole alitubu mbele ya uma wa Watanzania, na wote wamemsamehe, alianza upya,Write your reply...nitafurahi kusikia kafa asidhani nimesahau alivyo vunja maduka yetu tena usiku bila taarifa pale mbezi yeye akiwa dc wa ubungo
Polepole kasisaliti mwenyewe hakuna wa kumlaumu hata kidogo...alijua kabisa hali ilivyo akaendelea kuwa nchiniWatu wote waliohusika ktk usaliti huu juu ya Humphrey Polepole na kutwa na hao watalipia kizazi hadi kizazi chao, Mtu ambae alikuwa mzalendo anapigania haki ya watanzania wanyonge halafu wewe tamaa zako za fedha au vyeo, kwa ajili watoto wako hakika utalipa.
Kama ni wewe Mzee Btk, au ni nyie wasaidizi wake, au ni wewe kwenye nyumba utalipia kwa usaliti wako huo.
Juzi tu ilikuwa unawambia vijana waache uoga ili waikombe nchi yao. Leo hii ghafla unawambia waache vurugu.
Huyu mzee either amekula bahasha au ameshinikizwa kutoa taarifa za HP, kwa vitisho vya kutekwa familia yake. Ngoja tusubili Mungu mlinde HP, popote alipo, zaburi 91: 11 Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
By mwinjilist wenu Gabeji
Mkuu, pamoja na kuwa Butiku katoa upupu lakini huenda siyo yeye amemchomea. Hata hao wasaidizi waliokuwa wanakaa naye inawezakana nao wameshapotozwa. Inawezekana kabisa walitekwa kabla na kuteswa ili watoe info zote na wao wamepotezwa. Sasa tunarudi walijuaje alipo? Kwangu mimi, kukaa sehemu kama Dar ilikuwa ni very risk. Watu wakitaka ku-trace target, huwa wanafuatilia ndugu, jamaa na marafiki 24/7. Kila ndugu wa karibu, rafiki anafuatiliwa nyendo zake muda wote wakiwa na tumaini kuwa ni lazima atapeleka mahitaji au atakwenda kumuaona. Kitu kingine: Ukitumia vyombo vya electronics kama simu huko salama sana.Watu wote waliohusika ktk usaliti huu juu ya Humphrey Polepole na kutwa na hao watalipia kizazi hadi kizazi chao, Mtu ambae alikuwa mzalendo anapigania haki ya watanzania wanyonge halafu wewe tamaa zako za fedha au vyeo, kwa ajili watoto wako hakika utalipa.
Kama ni wewe Mzee Btk, au ni nyie wasaidizi wake, au ni wewe kwenye nyumba utalipia kwa usaliti wako huo.
Juzi tu ilikuwa unawambia vijana waache uoga ili waikombe nchi yao. Leo hii ghafla unawambia waache vurugu.
Huyu mzee either amekula bahasha au ameshinikizwa kutoa taarifa za HP, kwa vitisho vya kutekwa familia yake. Ngoja tusubili Mungu mlinde HP, popote alipo, zaburi 91: 11 Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
By mwinjilist wenu Gabeji
Wakati wa Mungu ukifika kila kitu kitakuwa shariNi suala tu la muda. Kama mnataka watu waingie barabarani ili muwaue kwa wepesi, muda ni rafiki mzuri. Hata yule Hamza aliye walamba risasi mchana kweupe, na yeye imdharau kama mnavyo wadharau wananchi wengine.