Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 2,106
- 3,027
Watu wote waliohusika ktk usaliti huu juu ya Humphrey Polepole na kutwa na hao watalipia kizazi hadi kizazi chao, Mtu ambae alikuwa mzalendo anapigania haki ya watanzania wanyonge halafu wewe tamaa zako za fedha au vyeo, kwa ajili watoto wako hakika utalipa.
Kama ni wewe Mzee Btk, au ni nyie wasaidizi wake, au ni wewe kwenye nyumba utalipia kwa usaliti wako huo.
Juzi tu ilikuwa unawambia vijana waache uoga ili waikombe nchi yao. Leo hii ghafla unawambia waache vurugu.
Huyu mzee either amekula bahasha au ameshinikizwa kutoa taarifa za HP, kwa vitisho vya kutekwa familia yake. Ngoja tusubili Mungu mlinde HP, popote alipo, zaburi 91: 11 Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
By mwinjilist wenu Gabeji