carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Me too bestieCarb miss you.
Leo ni lugha ya malkia
Naona leo watu wanatema yai tu



Me too bestieCarb miss you.
Leo ni lugha ya malkia



Umeonaee. Kajua kujiongeza.Halafu huyu mrembo wa leo mimi hata sijamuelewa kabisa yani,maswali aliyojibu sijui kama yanafika hata kumi...halafu yote ya Dj sepetu,sasa sijui yetu sisi audience ni magumu sana au lugha tunayotumia haieleweki.

Alafu nilijua umekimbia mana nilikutafuta kona zote sijakupataMmmh sijawahi kukimbia nipo tu hapa![]()
![]()
![]()
Kwani kienglish ndo nini kwa mfano
Umechelewa,hujamuona shunie anavyovunja mayai viza![]()
![]()
Yeah.. your grandpa is teaching grand kids how to talk colonialism language.I see you Babu
Hakuna namnaWe're good in both languages,
Twende kwa kiswahili tu maana
ShemEeeh!
Big No.! Sijatabiri kitu.
Ask her, who removed her virgin...Pardon
Kama cha wachina![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mi na cuzoo wangu tukianza kuongea hapa wote mtaondoka maana kienglish chetu si cha nchi hii

Mi ntakuwa wa mwisho swali langu la kufunga kabisaAnd you, tiririka

Yeah.. your grandpa is teaching grand kids how to talk colonialism language.
that's great grandpa,
Shiiii iziii kandaring mandaziiiii fooo tumoroo breakdownWewe mchokozi jaman
Ahahahaaaaaa uwiii mbavu zangu mie linamo
mi na cuzoo wangu tunapigaga soga tu hivyo hiyo lugha ya malkia haituhusu

True and that is the reason.I don't think she don't know kiswahili, the only reason she wanted this thing to go in English is so that she can have few questions,...now it turns out the question are many and she's the one struggling![]()
![]()
![]()

Really??!!Dada jaman ukumbuke sie huwa hatuulizagi maswali