Beta Male na Alpha Male

nadhani umeni quote vibaya,maana yangu ni kwamba huwa sina mda wa kupata stress za mtu ambae haeleweki,na huwa sipendi mtu anichezee ni bora aende kuliko kunipotezea mda wangu maana nina mambo mengi ya kufanya kuliko kukaa kusumbuana na mtu ambae haoni umuhimu wangu kwenye maisha yake.
 
imebidi nicheke tu unanikumbusha kisa cha mtu fulani hivi nimewahi kuwa nae kwenye mahusiano akikaa na vijana wenzie ni mkorofi ni mkatili yaani hana utu kiukweli kuwaelekea wengine.lakini alikuwa anawashamgaza wengi alipokuwa anawambia eti namtesa mpaka analia sasa alivyokuwa na sura ngumu hata hawamuelewi akisema mimi namuonea.
 
Mimi sipo Alpha wala Beta male maana huwa sitabirigaki katk mapenzi nahisi nitakuwa nipo Gamma au Theta mwenye kujua Gamma male au Theta male atusaidie
 
Umezaliwa tarehe ngapi na mwezi wa ngapi boss?
 
Nyota yangu Ni mapacha

Tarehe 22 .06. boss
Hiyo tarehe wewe nyota yako ni kaa mkuu.....! Na kaa mbona ni watu wanaotumia hisia zaidi kuliko fikra...! Basi ww uko tofauti sana na kaa wenzako.! Nyota ya mbuzi ndio wana sifa ya ubinafsi, kupenda fedha kupita kiasi na hutumia fikra zaidi ya hisia
 
Hiyo tarehe wewe nyota yako ni kaa mkuu.....! Na kaa mbona ni watu wanaotumia hisia zaidi kuliko fikra...! Basi ww uko tofauti sana na kaa wenzako.! Nyota ya mbuzi ndio wana sifa ya ubinafsi, kupenda fedha kupita kiasi na hutumia fikra zaidi ya hisia
Aaah tarehe hii Ni mapacha boss fuatilia vizuri itakuwa umesahau mahali ..ila went nyota hii mapacha inahusika Sana na masuala ya kusocialize especially katika mapenzi japo kuwa Mimi nakwepa Sana hizo mambo
 
Wewe ni cancer mkuu the crab sign 21june to 22 july
Aaah tarehe hii Ni mapacha boss fuatilia vizuri itakuwa umesahau mahali ..ila went nyota hii mapacha inahusika Sana na masuala ya kusocialize especially katika mapenzi japo kuwa Mimi nakwepa Sana hizo mambo
 
Lakini pia hizi concept zinaprogress arrogance, Cha muhimu ni mtu kuexpress individuality yako, GOD Doesn't Repeat ,nikimaanisha Mungu hana tabia ya kureplicate (kuumba viumbe wa kufanana sifa kama ulivyoainisha) Ana infinite set ya permutation na combination ,kwamba anaumba huyu anakuwa absolute Alpha na huyu absolute Beta ,hapo katikati Kuna GREY Areas ambapo watu kibao wanaangukia ,wako na features za pande zote kutegemea na scenerio

Mara nyingi watu ambao wameenda shule kidogo wanakuwa less conservative,zile masculine ideas za kiafrika wanazidrop kwa kiasi fulani,wanakuwa GENTLE ,pure definition ya ALPHA male ukitaka kuipata nenda vijijini ambako hakuna shule ,huko ndo utakuta LITTLE KINGS ,na hiyo expression ya manhood hawaexpress kwa wake zao pekee ,wanaexpress pia kwa watoto wao, na kwenye jamii kiujumla ,conflict zao nyingi huwa zinaishia kwenye mapigano,mzee akiingia akikohoa watu wanakimbilia uvunguni
 
Safi. Upo vema. Wewe umechambua vema na kumuelezea mleta mada anachotaka kujua.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kaa ukifahamu there's a very thin line between arrogance and high self-esteem/confidence na binadamu wengi huwa mnashindwa kuvitofautisha hivi viwili kwa hiyo sikushangai wewe kusema kwamba hizo concepts nilizoandika hapo zinajenga arrogance(kujiskia)
FYI human beings are the same, since we are all created by the same God therefore we have a lot of similarities. If take your time at least to dig out you will understand that we were all born "alpha" but our societies moulded us to be "beta", basically how you are today is the results of environment and societel trainings you were raised in, Sasa hizo habari za Grey areas ni nadharia zako tu ambazo hazina ukweli wowote.
Mara nyingi watu ambao wameenda shule kidogo wanakuwa less conservative,zile masculine ideas za kiafrika wanazidrop kwa kiasi fulani,wanakuwa GENTLE
Sasa umewahi kuwaza ni kwanini asilimia kubwa ya wanaume wanaoteseka kwenye mahusiano/ndoa zao ni hao wasomi ambao wako "gentle?? Ni kwa sababu wana wanayapeleka mahusiano yao in modern way, na modernisation is here to weaken men(by taking away his masculinity) and make women stronger, kama ulikuwa ufahamu hili fahamu leo.
A Modernized man is a weak man at least in relationship-wise, being gentle is equivalent to being soft.

Once you drop conservative traits and decide to embrace modern/liberal ideology, then you are officially "Beta

Na kwa bahati Sana, beta males ndio wanatengeza weak society. Angalia leo conservative societies angalau ndio bado zina family stability wakati huo kwenye liberal societies family stability ilishakufa siku nyingi Sana na badala yake wameamua kui-embrace single-motherhood.

Bro, an alpha male is usually aggressive and adamant. Sio lazima uwe hauna shule ndio uwe hivi.

Alpha male hata wewe mwenye ukiamua kuwa unaweza, kama jamii imekutengeneza wewe kuwa beta Basi pia unaweza vile vile unaweza kurudi kwenye alpha version.

Sasa napata picha athari za hii elimu ya kimapokeo(Western education) kwa vijana wetu miaka kadhaa ijayo.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…