BET Awards Photo, Waafrika wanabaguliwa

BET Awards Photo, Waafrika wanabaguliwa

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
Nimeshangwazwa sana kwa kitendo cha Baadhi ya Wasanii hasa wa Afrika walioshida Tuzo kupewa Tuzo kabla ya Tamasha lenyewe kufanyika sijui nini kilichotokea Tamasha lilifanyika mida ya Usiku uko Marekani msanii kama Davido Tuzo yake alipewa mapema asubuhi kabla ya Shughuli yenyewe huu ndo nasema UBAGUZI.
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
bet.jpg
 
Wamarekani weusi ni wapumbavu sana, huu ujinga si mara ya kwanza kuufanya mwaka uliopita mshindi wa africa alipewa tuzo back stage.Mwaka huu wameona apewe asubuhi kabla ya event yenyewe.Sioni sababu ya wanamuziki wa africa kuendelea kushiriki tuzo za BET.Siku zote yanalia yanabaguliwa na wazungu wakati yenyewe ndiyo mibaguzi ya kwanza kwa weusi wenzao wa africa
 
Kweli kabisa unachosema
 
Baadhi ya wamarekani weusi wanadai wao asili yao sio Afrika huaga wanawabaguaga wa afrika ila huwa hawaiongelei,tunajua wazungu kumbe hadi wao! inauma sana.
 
duh sasa ni ubaguzi uliokithiri...kweli ni shida
 
Ni shaow ya marekani, au nchi za magharibi! Kama wasanii wa Afrika nao wanapewa angalau tuzo, maana yake wanawajali na kuwakumbuka. Pia ni tuzo ya msanii sio ya Afrika. Hivyo hata akikabidhiwa kabla ya tukio, ataenda iweka kabatini kwake, sio kabati la Afrika. Ni mtazamo tu.
 
Mwenye uelewa wa hii aina ya ubaguzi atuwekee vizuri tafadhali,ni ubaguzi au kuna kigezo fulani kinafuatwa cha jinsi ya kuwakabidhi wasanii kutoka Afrika?
 
View attachment 167949
[
View attachment 167969Nimeshangwazwa sana kwa kitendo cha Baadhi ya Wasanii hasa wa Afrika walioshida Tuzo kupewa Tuzo kabla ya Tamasha lenyewe kufanyika sijui nini kilichotokea Tamasha lilifanyika mida ya Usiku uko Marekani msanii kama Davido Tuzo yake alipewa mapema asubuhi kabla ya Shughuli yenyewe huu ndo nasema UBAGUZI.

View attachment 167973

mkuu na wewe umetubagulia dimond wetu kujisemea mkude simba,mbona haujatupia hata picha yake mmoja.....!?
ubaguzi unaanza kwetu wenyewe.
 
BET is a huge American brand so their audience is Americans or people living in America. They have a responsibility to their audience, to generate income, pay taxes to the government of America, create employment, promote artistes or performers with their culture, and to be competitive in their market. Because of all these, they won’t lose what we call ‘the battle for the eye ball.’ So BET is doing us good by giving us (Africans) nominations or awards in their award scheme. BET may create opportunities for Africans by giving us nomination or award, recognize us for our culture or learn from them, but, they do not see us as superior over theirs! They give recognition and praise to their best thinkers, creators, manufacturers, etc. Already, we don’t see our artistes or musicians as big! We see artistes in UK or America as bigger than our own, so the point is, in as much as we don’t see the greatness in our own; we shouldn’t expect others to see them as such!
 
Wabadiri Jina na kuita "WET~WHITES ENTERTAINMENT TELEVISION"
 
Back
Top Bottom