Bestfriends for ever

Bestfriends for ever

Third Eye

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
373
Reaction score
210
Bestfriends for ever
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1369710393195.jpg
    uploadfromtaptalk1369710393195.jpg
    29.9 KB · Views: 189
Mbu alizaa wanawe kadhaaa, mmoja alipoanza kuruka, alizunguka huku na huko lakini cha kushangaza kwake, kila alipokwenda alikuta watu "wakimpigia makofi" akarudi kwa Mama yake na kumweleza kuwa; amekutana na Binadamu wana upendo kweli, yaani kila mtu alimpigia makofi......Mama yake akamwambia ohoooo walikua wanataka kukuua hao. Funzo; sio kila anayekuchekea na kukubembeleza ni rafiki
 
Back
Top Bottom