Best yangu ni shoga

Mungu amemuumba Adam na Eva siyo Adam na Steve. Achana na huyo rafiki la utaingia majaribuni! kwanza mlilalaje nyumba moja achilia chumba au kitanda kama vilihusika. Watu wazima hivyo mna sleepover??
 
<br />
<br />
SO DAMN RIGHT! THREAD CLOSED!
 
mbona umejiwahi? ".ila mimi sijawahi kumduu."nimenukuu...pia kama ulisoma nae,..na ulijua tabia yake..maana umesema alikuwa maarufu, iweje ukamkaribisha aje kwako?basically huyo ni rafiki yako...na ndege wanaofanana?............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…