!!!!! Best Wishes Husninyo!!!!!

Naungana nanyi kumtakia kl la kheri.
Vuna ulichokipanda my ex-wife -online.
 
Mkuu asante kwa taarifa,
tafadhali mpe mkono wangu wa
Mafanikio, Kheri na Baraka tele kutoka kwa Mungu.



It is your examination season,and i wish you the very best of luck.
May you do your best and make us proud as you always do.
VD.....
 
Mi nauza "jani a.k.a feki" ya hiyo paper inayomkabili Husninyo...
 
Hapana mkuu....my wife wangu sweetlady ndio anahusika kwa kunificha...
Muulize Judgement maana ndio mume....

Mhe VD , huoni unanivesha la ukoka-lemba? Kuniita currently husband wa Husn kuzingatia wewe VD unazo habari kwamba kiumbe huyu yuko mtihanini rite now, wakati mie sijui kabisaaa!
Hata tetesi kwamba yuko kwa exam sina!
Kuna changu hapo?
 
Last edited by a moderator:
Judgement anakataa kabisa wala hajui habari zake
Wewe Vin Diesel nina wasi wasi na wewe maana unajua mpaka ratiba ya mtihani wake na maisha yake binafsi

Sindwa kusangaa na wewe Mr. Rocky!
Ina maana Judgement ni blind kiasi gani ?
Yaani nimeshindwa kuona picha na maandishi !
Realy ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…