Best whatsapp status

:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:😀😀:thumbup::thumbup::thumbup:
 
Hahahaha. Inamaanisha hivyo hivyo. Saa nyingine mtu amewekeza hadi kwenye ivf bwana.

Sasa wewe unamuona tu diamond anapeta unaanza wivu wakati domo anakeshea kwenye mazoezi. Weye hata jogging huamki ukafanya. Najua uhuru marathon hautakuja teh teh
Hizi lugha hizi mmhhhh!!! hebu itafsiri hii kitu kwa kimatumbi

"Success is like being pregnant everybody congratulates you, But nobody knows how many times you got fucked to get there."

cc King'asti nisaidie kimatumbi cha hiyo makitu hapo juu
 
Last edited by a moderator:

Mafanikio ni kama kupata mimba, kila mtu atakupongeza lakini hajui /hakuna anayejua ume mbwato mara ngapi/kiasi gani mpaka uko kwenye hali hiyo.

Nakumbuka siku hizi kuna vijana lazima wazunguke uwani.
 
Last edited by a moderator:
 
Inspiring. ..enjoyed reading em..
 
1.Sometimes my fabolousnes makes me wonder...
2. I swear i would be jealous if anybody else would be me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…