Rekebisha kwanza hiyo namba 1 ni Z.AntoHabari
Hii hapa ni list ya video vixen waliowahi kutamba zaidi Tanzania tangu nimejua ABC kuhusu muziki..
1. Binti kiziwi by Za anti
2. Tinda tine; msanii simjui ila ni mganda na ndo mwenye wimbo yule dada alitupeleka mbio sana kwenye swala la kuchagua wadada wazuri, mtifuano ulikuwa kati ya huyo alieimba huo wimbo na video vixen wa nyimbo ya JI; kidato kimoja😁🤣
3. JI kidato kimoja
4. Diamond: Mawazo
5. Harmonize: Sophia amelowa
6. Diamond: Jeje
7. Mbosso Khan: Bonge la dada
Nani nimemsahau mwingine 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umejisahau wewe kujitaja.
Hii ni unbeatableProfesa j -zali la mental
📍📍📌Profesa j -zali la mental
Yeah zamani walikuwa wanachagua ma video vixen tena wana ile natural beauty... Sasa hivi sijui wanawatoa wapi (mimi nilikuwa nadhani ni machangudoa wa bar).Tabasamu- Mr blue yule jina lake sijui nani
Sa hivi ni nyashi nyash sura itapigwa make up tuYeah zamani walikuwa wanachagua ma video vixen tena wana ile natural beauty... Sasa hivi sijui wanawatoa wapi (mimi nilikuwa nadhani ni machangudoa wa bar).
Make up mpaka kero
Hakika...mauzo yanazingatiwa aibu utaona wewe😆Sa hivi ni nyashi nyash sura itapigwa make up tu