Best Value mobile internet Package right now? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Best Value mobile internet Package right now?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kang, Jul 4, 2010.

 1. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Utafiti wangu unaonyesha kuwa options ni mbili so far.
  Naona Voda wana Bomba30 for 30,000/= ambayo ni unlimited use for 30 days, lakini speed wanaminya.

  Zantel nao wana 2GB for 10,000/= kama ukijiunga na high life program yao. Hii nasikia speed imetulia.

  Nadhani ntaenda na Voda unless kuna mtu ana ushauri mwengine?
   
 2. T

  Taso JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  The rates are misrepresented. Zantel is 2GB for 10,000/= a week, not just 2GB for 10,000. The Voda rate is whacky too, unlimited for 30 days, then what?
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Then you have to pay another 30,000/= for another 30 days Unlimited, mbona unaleta complications wakati kitu simple?
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  OK nimenunua hii ya Voda Bomba30 jana. Verdict so far: VERY GOOD DEAL!!

  Pros:
  Very Cheap! 30,000/= Only.
  Unlimited downloading.
  GSM Phone compatible no need for a separate modem.

  Cons:
  Slow.

  Full Review.
  Speed sio kubwa lakini it is quite usable ila usitegemee kuangalia youtube au any streaming video kwa raha yoyote. Although niliweza kufungua internet radio for a while.
  Kwa mambo mengine yote haina tatizo, mchana speed ilishuka zaidi labda ni yale matatizo ya SEACOM yalisababisha sina uhakika.

  Kwa 30,000 hakuna mshindani wa hii package nadhani, nawashauri Voda warekebisha marketing yao maana hata poster za ndani ya offisi ya voda zinasema ni 60,000 wakati its just 30,000.
  Swala la kutokuwa na haja ya kubajeti bandwidth kwa kweli ni zuri sana, unakamua tu!! Hakuna yale mambo ya kuzima updates.
  Hii SEACOM inaleta mabadiliko ya kweli sasa!

  Na la ziada ni kwamba sikuwa na haja ya kununua modem (170,000 saved!) kwa vile ni GPRS unadumbukiza SIM kwenye simu then unaunga simu na PC. Pia kama una Windows Mobile unaweza ukaigeuza simu yako kuwa Wireless Router so unasurf kwa Wifi, safi sana.
   
 5. T

  Taso JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Ili kutumia internet inabidi lazima uwe na internet modem, ili kutumia internet kupitia simu ina maana simu yako ndio modem, lazima simu yako iwe na in-built internet modem. Sio kila kisimu kina modem.

  Na huhitaji "router" kutumia WIFI. Unahitaji wireless modem.

  Na "Window Mobile" ni software,"router" au "modem" ni hardware. Utafanya watu waka install "Windows Mobile" wakidhani simu yao itageuka modem kumbe simu yenyewe natively ni haina uwezo huo. Lets straighten the technical nitty-gritty.

  Vodacom wanapominya download rate ni njia ya ku make sure user gets a limited amount of data in given time frame. Wanajua kwa speed hii huyu hata awashe net usiku kucha mwezi hachukui zaidi ya X GB. Ndio maana hata wewe unatushauri tusiende You Tube. The thing is anything but unlimited.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Of coz naongelea simu yoyote inayoweza kuaccess net tayari na ina uwezo wa kuwa tethered na PC.

  Sawa mkuu sikutegemea kama kuna mtu hana akili mpaka aende kuinstall Windows Mobile kwenye simu random, anyway.
  Windows Mobile inageuka Wireless router mkuu labda haujanielewa, wireless modem ni kale kadongle wanachouza Zantel. Router sio hardware tu kama unavyofikiri ni ile process inayofanywa na software iliyopo ndani ya lile kopo ndo muhimu.

  Hii Voda ni Unlimited downloading, of coz calculation za X GB zipo lakini hizo zipo hata kama una connection fast ambayo ni Unlimited, its only Unlimited kwa sababu wamepiga mahesabu kuwa majority ya watu hawatatumia zaidi ya X GB. Cha muhimu ni kuwa hauna haja ya kubudget matumizi yako, wala kuwa na wasiwasi kuwa inaweza ikaisha kati kati ya kazi. Youtube nenda ila itabidi utumie ile technique ya kupozi video mpaka iload.
   
Loading...