Best student in Tanzania (T.O)

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
885
60
Nini umuhimu wa kuwa na wanafunzi bora kitaifa afu tunawapoteza baada ya muda si mrefu yaani wakimaliza chuo kikuu basi hatuwasikii tena

je serikali inamonita vipi maendeleo yao huko walipo

kumbuka no longer at ease(obi okonkwo alikuwa n.o akapelekwa kusoma nje afu akarudishwa na wana igbo asaidie maendeleo ya kwao)

bongo tunawatumia vipi ma t.o wetu?
 
That was in the past! Siku hizi wengi wanakimbilia kwenye private companies. In the past it's a pride to work in the government,but leo!
 
ma t.o. wengi ni wazushi tu. wengi ni watu wa kusoma sana bila kukesha darasani hafaulu,
chuo things re different. the same question can have multiple of answers depending on perceptions na how the world is changing
huitaji kukesha ili ujibu questions za chuo. u need to be a thinker
ndo maana wengi tunawasahau
 
hawaitajwi kubebwa! kama wana uwezo sana watumie uwezo zao kupambanua maisha! wanatakiwa kufikiri na kuonyesha umairi wa ufahamu wao! ungeniambia tuwasahidie wasiojiweza ningekuelewa!
 
Wakishaingia chuo ndio basi tena! Chuo hakuna kukariri sana bila kuelewa,mara nyingi mat.O huishia kupata gpa za kawaida,coz wanakuja chuo wakiwa wamevimba kichwa,vijana waliongia chuo kibahati hufanya kweli zaidi yao.
 
Jamani, usiwalaumu. Je kuna mazingira gani endelevu yalioandaliwa kuwaendeleza? Wengi wakiingia chuo wanashusha morali kwa sababu hawaoni u-special wao tena.

Wizara husika ilibidi iwe na mikakati ya kuendeleza vipaji hivi.

Leo hii China na India wamekuwa wazuri wa kuendeleza vipaji hivi.

Hawajafika hapo walipofika kwa bahati mbaya.. Marekani wako tayari hata ku-import vipaji maalum kwa gharama zozote.
Sisi huku hatuna hiyo kitu
 
tatzo la ma t-T.O wetu ni kwamba wamejengewa mazoea ya "kumeza",ndo mana wanfaulu,ila kudadafua mambo hawawez,ndo mana wakija kwenye dunia yenye mambo mengi,yanayobadilka day and night hawawez,weng wao wanishia kuwa wakufunzi vyuoni
 
kuna member mmoja huwa anapenda sana shinda jf 24 hrs na ni manager kwenye telecom company alikuwa TO mwaka wetu jina lake la utani maarufu enzi hizo ndio analitumia mpaka humu ndani
 
name calling ban nitapewa kuna mtu mwaka 2011 alijifanya kuropoka watu wakaripoti abuse waliomtaja wote wakapewa ban
maana ata kutaja wasifu ni kosa hap JF
 
ma t.o. wengi ni wazushi tu. wengi ni watu wa kusoma sana bila kukesha darasani hafaulu,
chuo things re different. the same question can have multiple of answers depending on perceptions na how the world is changing
huitaji kukesha ili ujibu questions za chuo. u need to be a thinker
ndo maana wengi tunawasahau

Unaposema huitaji kukesha ili ujibu maswali katika level ya chuo kikuu na kwamba u need only to be a thnker sio sawa bwana..
Labda kwa taaluma uliyosoma wewe lakin kwa Wanazuoni wa Sheria ukiulizwa Elements za crime ni sawa na kuulizwa 1+1 lazima kitu kiwe hicho hicho wala hakuna habar ya multiples.. Huo nimetoa ni mfano tu lakin kwa taaluma kaama ya sheria kila kitu kipo kwenye Sheria zilizotungwa hivyo unachotakiwa ni kwamba usitoke nje ya vitabu ndio maana uwa tunabanwa kwamba jibu swali kwa kufanya refference ili kuzuia ujanja ujanja wa kila mtu kuja na lwake..!!
 
Ma T.O wengi ni spoon feeders
hasa hawa wa Form Four !

Akitoka O-Level nakufanya Vizuri ! Basi ili afanye vizuri tena advance ni lazma aende shule za masimba wayuda !

Akienda hizi za kina kayumba ! Ujue ni Zero hiyo !
 
Kuna mtu anaitwa Ernest Sebastian, yuko Japan kwa sasa, yeye alihitimu Shule ya Upili Mara akapata daraja la kwanza akiwa na alama 8 ila hakuwa mshindi kitaifa kisha akaenda Mzumbe na kuibuka mshindi kitaifa akiwa na alama 3, daraja la kwanza.

Anayemkumbuka anaweza kumzungumzia zaidi kwa mujibu wa mada husika. Ni dondoo tu.
 
Hatuhitaji mat.o wakukariri principle za wenzao tunaitaji t.o anayegundua mambo mapya kutatua matatzo ktk jamii
 
Unaposema huitaji kukesha ili ujibu maswali katika level ya chuo kikuu na kwamba u need only to be a thnker sio sawa bwana..
Labda kwa taaluma uliyosoma wewe lakin kwa Wanazuoni wa Sheria ukiulizwa Elements za crime ni sawa na kuulizwa 1+1 lazima kitu kiwe hicho hicho wala hakuna habar ya multiples.. Huo nimetoa ni mfano tu lakin kwa taaluma kaama ya sheria kila kitu kipo kwenye Sheria zilizotungwa hivyo unachotakiwa ni kwamba usitoke nje ya vitabu ndio maana uwa tunabanwa kwamba jibu swali kwa kufanya refference ili kuzuia ujanja ujanja wa kila mtu kuja na lwake..!!

Nitajie T.O. mmoja aliyeenda kusoma sheria undergraduate.
I dont think we have any.
 
Jamani, usiwalaumu. Je kuna mazingira gani endelevu yalioandaliwa kuwaendeleza? Wengi wakiingia chuo wanashusha morali kwa sababu hawaoni u-special wao tena.
Wizara husika ilibidi iwe na mikakati ya kuendeleza vipaji hivi
Leo hii China na India wamekuwa wazuri wa kuendeleza vipaji hivi. Hawajafika hapo walipofika kwa bahati mbaya.. Marekani wako tayari hata ku-import vipaji maalum kwa gharama zozote.
Sisi huku hatuna hiyo kitu

kwani wana uspesho gani?
 
Back
Top Bottom