Best selfie ever...

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, kila mmoja anajaribu kutoka na selfie ya ajabu
 
Kuna wachina madakatari wamefukuzwa kazi baada ya kujipiga selfie kabla ya kumaliza operation
 
Mkuu ni zile picha za watu kujipiga wenyewe,yaani kama simu yako ina uwezo wa kujiangalia na kujipiga picha hizo ndo selfie,yaani kujipiga mwenyewe
Nashukuru sana mkuu kwa kunipa elimu.....
 
Hii imefanana na muvi ya true lies...... hiyo chuma aloshikilia tuli lazma huyo rubani atakua na nguvu za ajabu kama kweli alikua angani.

Abiria hawakutaharuki kwa upepo mkuu utafiti?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…