Best PC games

kwnye gta SA hadi madem wa kugonga wapo, cjajua km kwnye V wameeka hyo

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app

wanaachaje kwa mfano.. yani wame-improve kila kitu ambacho kime-lack kwenye old GTAs na wameongeza graphics kali kama kweli vile. you feel the game. kwenye mods sasa ndo balaa japo now days wameanza kutoa temporary ban kwa wanaotumia mods. Big up kwao Rock Star Games.
 
Jaman mwenye game la SWAT4 naombeni maana link zote na download ila game unakuta mission ziko 7 wakat full mission zipo Zaid ya 200 huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Best game on my list
1# gta v
2# fifa 17
3# nba2k 17
4# battlefield 4
5# titanfall 2
6# wwwe 2k17
7# foroza horizon
8# tomb raider univesary
9# nier automata
10# fallout 4





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji hiyo euro trucks mkuu. Vipi american truck sim na omsi unazo?
 
Jaman tusaidiane free website za games, movies and series
 
Linahtaj PC ya uwezo gani hili game

  • OS: Windows 8.1 64 Bit, Windows 8 64 Bit, Windows 7 64 Bit Service Pack 1.
  • Processor: Intel Core i5 3470 @ 3.2GHZ (4 CPUs) / AMD X8 FX-8350 @ 4GHZ (8 CPUs)
  • Ram Memory: 8GB.
  • Video Card: NVIDIA GTX 660 2GB / AMD HD7870 2GB.
  • Sound Card: 100% DirectX 10 compatible.
  • HDD Space: 65GB.
 
Napenda namba 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…