elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
Kama wewe ni mpenzi wa Game za vita anza na hawa Activision wana series za Game inaitwa Call Of Duty!!Nina kama miaka 7 hivi sijacheza game yoyote kabisa, though nina ahadi ya kurudi tena kutokana na raha niliyokuwa naipata. Kwa kipindi kile PC game hivi nilizikubali sana;
1. Hidden Dangerous
2. Project IGI 2
3. GTA - Vice City
4. Colin McRae Rally
5. Moto Combart
6. Moto GP
Nitarudi tena kwa nguvu sana muda si mrefu ....
Captain Price, Gaz n.k hawa watu noma. Mkuu una Call of Duty 2 black ops!?Call of duty 4 modern warfare 1,2 & 3 zipo fresh sana na far cry 3,
Kuna battlefield 2 bad company,
Ila kwa sasa specification za games zinazotoka ni kubwa kuliko uwezo wa pc yangu, naomba msaada kama naweza kupata desktop pc yenye specification za maana kwa nowdays games,
Ram yangu tu ni 4 gb, ambayo kwa sasa ndo minimum requirement kwa games nyingi pia ni ina intel graphics + processor ya 2.13 ghz
Vita gani unazungumzia Mkuu!?GTA V yatosha.kama ni vita ipo,magari yapo,mahonda yapo gym ipo,Makanisa yapo, jela ipo,pesa zipo,benki zipo,clubs zipo tabu ya nini?
Mkuu tulio vijijini tutapataje utamu huo? pliz kama unaweza weka link ya kudown loadKwangu mimi ni kama hivi
1. Call Of Duty 3 na 4 pamoja na COD special force.
2. Assasin Creed 2 na 3
3. Need for speed most wanted.
4. Ghost recon
Haya magame utayafaidi ukiwa na processor ya maana. Tupia yako pia.
Thanks to skidrow kwa kuniwezesha kucheza kila game.
Unayo Call of Duty 2 Black Ops?Mkuu za kwangu ni kama zifuatazo:-
1.Hitman Absolution
2.Call of duty:GHOST
3.Grand theft auto(GTA)-V
4.Need for speed:Rival
5.Asphalt 8:airborne
Hizo gamez kk ni shedah yan zimetulia graphics na ni rahisi kuzimudu ndani ya muda mchache..
I.G.I 3!!!??? Hatari sana nyie watu, mimi hiyo IGI nilipiga 1 tuu na nikaimaliza. Nikaipata 2 nikawa siielewi elewi, nikaachana nao. Ila I.G.I ni bonge la Game, siku ya kwanza kuanza kucheza wakati Jones akipigwa risasi nikawa nahisi kama mimi ndo napigwa tena nikawa nna kauoga flani hivi.Igi3
Igi ni game rahisi sana kucheza,mwanzo nilikua napigwa risasi kama kawa,ukiweza kudestroy tu zile camera umemaliza game,unakua unaua nyatunyatu tuI.G.I 3!!!??? Hatari sana nyie watu, mimi hiyo IGI nilipiga 1 tuu na nikaimaliza. Nikaipata 2 nikawa siielewi elewi, nikaachana nao. Ila I.G.I ni bonge la Game, siku ya kwanza kuanza kucheza wakati Jones akipigwa risasi nikawa nahisi kama mimi ndo napigwa tena nikawa nna kauoga flani hivi.
Mimi ile 2 nimecheza mission moja hivi unatupwa na ndege sehemu flani hivi harafu kuna barafu tupu.Igi ni game rahisi sana kucheza,mwanzo nilikua napigwa risasi kama kawa,ukiweza kudestroy tu zile camera umemaliza game,unakua unaua nyatunyatu tu
Iyo waga nacheza kwa dk 5 tu,Mimi ile 2 nimecheza mission moja hivi unatupwa na ndege sehemu flani hivi harafu kuna barafu tupu.
Baadae unamaliza mission baada ya kuzungusha kitu flani hivi kama lichuma likubwa ambalo linafanana na mnara.
Something like that japo sina uhakika saana maana nimesahau lakini nakumbuka ile sehemu uliyoshushwa na ndege kwa mbele kidoogo kuna maadui, ukiwaua unaenda mbele tena kuna kama kamlima na huko kuna majengo ya maadui na mission inakuwa completed huko.Yap alafu ndege inakuijia sio??
Ongezea internet!GTA V yatosha.kama ni vita ipo,magari yapo,mahonda yapo gym ipo,Makanisa yapo, jela ipo,pesa zipo,benki zipo,clubs zipo tabu ya nini?