Barrick Gold Tanzania, na Geita (migodini). kule ukienda, Human recource anaweza kuwa analipwa hata milioni tatu hadi tano kwa mwezi. mlinzi wa mgodini wanalipwa laki tisa hadi milioni moja na nusu. mwanasheria wa kampuni analipwa kuanzia milioni tano kwenda juu kwa mwezi. mfano Tulawaka, hiyo ni net, halafu chakula bure mnapikiwa cha first class (western) unakula tani yako, hivyo huo mshahara hautanunua chakula etc. ndio maana wanamalizia kwenye uzinzi tu wakienda likizo. unafanya kazi wiki tatu, wiki mbili likizo. hao ndo wazungu bwana. pamoja na kwamba wanatuibia sana, lakini watz wenzetu wanaofanya kazi huko ndo wanalipwa hivyo.
Unajua kweli unayoyaongea mkuu? Sidhani kama hiyo ndiyo mishahara ya hayo makampuni uliyoyataja. Nafikiri ni chini zaidi ya hapo.
Barrick Gold Tanzania, na Geita (migodini). kule ukienda, Human recource anaweza kuwa analipwa hata milioni tatu hadi tano kwa mwezi. mlinzi wa mgodini wanalipwa laki tisa hadi milioni moja na nusu. mwanasheria wa kampuni analipwa kuanzia milioni tano kwenda juu kwa mwezi. mfano Tulawaka, hiyo ni net, halafu chakula bure mnapikiwa cha first class (western) unakula tani yako, hivyo huo mshahara hautanunua chakula etc. ndio maana wanamalizia kwenye uzinzi tu wakienda likizo. unafanya kazi wiki tatu, wiki mbili likizo. hao ndo wazungu bwana. pamoja na kwamba wanatuibia sana, lakini watz wenzetu wanaofanya kazi huko ndo wanalipwa hivyo.
Barrick Gold Tanzania, na Geita (migodini). kule ukienda, Human recource anaweza kuwa analipwa hata milioni tatu hadi tano kwa mwezi. mlinzi wa mgodini wanalipwa laki tisa hadi milioni moja na nusu. mwanasheria wa kampuni analipwa kuanzia milioni tano kwenda juu kwa mwezi. mfano Tulawaka, hiyo ni net, halafu chakula bure mnapikiwa cha first class (western) unakula tani yako, hivyo huo mshahara hautanunua chakula etc. ndio maana wanamalizia kwenye uzinzi tu wakienda likizo. unafanya kazi wiki tatu, wiki mbili likizo. hao ndo wazungu bwana. pamoja na kwamba wanatuibia sana, lakini watz wenzetu wanaofanya kazi huko ndo wanalipwa hivyo.
inawezekana mimi sijaelewa, asante kwa kunielewesha, lakini naomba niambie, kwa kichwa cha habari cha mtoa mada, ukisikia mtu anasema '" BEST PAYING COMPANY" utaelewa kama amesema mashirika ya umma? mimi sikusoma alichoandika chini, hapa nina kazi zangu nyingi hivyo nilisoma tu kichwa cha habari. best paying company which includes private and public companies au government corporations. nafikiri wewe uelewa wako ndio kidogo unazingua. hebu jamani nisaidieni alichosahihisha huyu jamaa anayejiita mwenye akili.Mkuu wakati unajibu hoja yake ya mashirika ya umma yanayolipa vizuri akili yako ilikuwa timamu kweli? Usiniambie hayo uloyataja ndo mashirika ya umma. Hebu chunguza vizuri akili yako kama iko sawa mkuu.
fafanua ili nieleweshwe. ukiandika kidogo tu hivyo wewe ndo utaeleweka hujaelewa kabisa kwasababu hujadadavua hata kidogo ambacho mimi nisiye mwelewa nimechangia.Nina wasiwasi na uelewa wako juu ya mambo unayochangia!
mkuu wewe ni mwalimu? nikweli wanalipa hivyo, ninyi si mmeridhika na malipo duniUnajua kweli unayoyaongea mkuu? Sidhani kama hiyo ndiyo mishahara ya hayo makampuni uliyoyataja. Nafikiri ni chini zaidi ya hapo.
uyu naye uelewa wake unamwonyesha kuwa, BEST PAYING COMPANY ni mashirika ya umma, kulingana na kichwa cha habari.Mkuu wakati unajibu hoja yake ya mashirika ya umma yanayolipa vizuri akili yako ilikuwa timamu kweli? Usiniambie hayo uloyataja ndo mashirika ya umma. Hebu chunguza vizuri akili yako kama iko sawa mkuu.