Best of cold play

Best of cold play

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,444
Reaction score
69,265
Kwa wale wapenzi wa Cold Play,
Hizi ndizo nyimbo za Cold Play ambazo zimeuza sana.
​


  1. Fix you.
  2. Viva la Vida.
  3. Paradise
  4. Magic
  5. Fun
  6. The Scientist
  7. A sky full of stars
  8. Yellow
  9. Clocks
  10. Every Tear drop is a water fall


Wale wadau waendelee kuongezea
 
Hebu weka link ya kudownload albam mpya
 
The Scientist..Trouble..Yellow..In my place..Clocks..Fix you..Death and all his friends..Hapo ni coldplay katika ubora wao kabisa. Nilipenda sana their first 3 album kabla hawajawa too mainstream
 
Viva la Vida ni wimbo ambao pep guadiola alikuwa akiusikiliza kabla ya mechi yoyote alipokuwa Barcelona
 
Mi ni mpenzi pia wa Guns N' Roses, Metallica, Lynyrd Skynyrd, na kadhalika.

Sasa Ngabu Punk Rock si inakuumiza kichwa kweli?
Japo huwa napenda upigwaji wa vyombo live.
Hawa jamaa walinishinda aisee.

 

Sasa Ngabu Punk Rock si inakuumiza kichwa kweli?
Japo huwa napenda upigwaji wa vyombo live.
Hawa jamaa walinishinda aisee.

Nah..siyo kila nyimbo ni punk rock bana.

Kwa mfano Sweet Home Alabama



Knockin On Heaven's Door.....hii bonge moja ya classic aisee.

And I wouldn't call it punk rock.

 
Last edited by a moderator:
Nah..siyo kila nyimbo ni punk rock bana.

Kwa mfano Sweet Home Alabama

Knockin On Heaven's Door.....hii bonge moja ya classic aisee.

And I wouldn't call it punk rock.

I get the feeling.
They are simply legends lakini nyimbo zao nyingi ni shida tupu.Keleleee tupu.
Band ya maana miaka hiyo ya 80's nilikuwa naikubali sana Fleetwood Mac.
 
Mkuu kuna ngoma zake umezipita,,Don't let it break your heart,,green eyes,,politic,,the hardest part hizi ngoma zinajirudia always kwenye mawazo yangu.Huwa naona jamaa amepitia mengi.Pia kuna Amsterdam na Rush of blood to the head.Mimi ni mshabiki wake wa kutupa.
 
Kuna pia Talk and clocks these are the best Kabisa.Siku nikiwa down huwa hizi single hazikai mbali.
 
Back
Top Bottom