Mleta
East Africa Eagle UZi na ungeweka na Data kabisa za nchi gani inaongoza kwa UGAIDI:wink::wink:. Nasikitika sana Hiyo nafasi ya china tungepewa sisi. Manake china hawajapigana vita yoyote miaka mingi.
Russia na Israel is the best kupambana na ugaidi... Source ni mimi Mwenyewe