East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Number five, Vatican, scares me a bit!
I used to take Vatican as very peaceful and holly!
Aiseee, ndiyo maana siri zote za chama tawala CDM wanazo! Kumbe ni sababu ya DR. SLAA? Safi sana!1.Police training-United kingdom
2.Special forces-USA and ISRAEL
3.Gollilar war,military displine and military organization-CHINA
4.Airforce Training-USA
5.Intelligence-Vatican
Number five, Vatican, scares me a bit!
I used to take Vatican as very peaceful and holly!
INTELLIGENCE is the 'MOTHER OF ALL WAR VICTORIES'!Mkuu Kishimbe, Intelligence does not carry a gun, doesn't wage war. So Mkuu, Kashimbe don't get scared.
vatican noma msiwachulie poa mapadri wa kanisa langu la katoliki.wanafundishwa mengi.
By East African Eagle,
1.Police training-United kingdom
2.Special forces-USA and ISRAEL
3.Gollilar war,military displine and military organization-CHINA
4.Airforce Training-USA
5.Intelligence-Vatican
Tanzania hakuna!!!
- Mkuu hapo katika red una maana gani kuhusu China ?
Nina maana ya vita za misituni,kwenye majangwa na maeneo magumu kama milimani na maeneo yenye barafu kali na nje ya mitaa ya miji.Kuhusu military displine ni kuwa waChina wana uwezo mkubwa wa kulifunza jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu na uzalendo mkubwa na utii wa kiwango kikubwa.Jeshi la China ndio jeshi lenye nidhamu kuliko jeshi lolote duniani
Majeshi kwa mfano yaliyofunzwa na wafaransa huwa hayana viwango vya juu sana vya nidhamu kama yaliyofunzwa na wachina.Angalia nchi zote ambazo majeshi hufunzwa na wafaranza hayana nidhamu kabisa.
Majeshi mengi yaliyofunzwa na nchi za magharibi huiwa hayana uzalendo na nidhamu kubwa kama yale yaliyofunzwa na mchina
1.Police training-United kingdom
2.Special forces-USA and ISRAEL
3.Gollilar war,military displine and military organization-CHINA
4.Airforce Training-USA
5.Intelligence-Vatican
Sasa waislam wanalilia eti lazima OIC nayenyewe iruhusiwe iingie hapa itatoa misaada kwa tanzanian na waislamu watafaidika....kigezo eti kwanini serikali imeruhusu Vatican wawe na uwakilishi Tanzania wao wanyimwe OIC kuwakilisha waislamu??Vatican ni nchi kamili Yenye kila kitu kama nchi.Ndio maana viongozi wengi wakiwemo wa wa Nchi hata USA huiheshimu na kumtembelea kiongozi mkuu wa VATICAN.Unakumbuka hata OBAMA si mkatoliki lakini aliposhika uraisi tu trip yake ILIKUWA Vatican.Ni nchi inayoheshimika mno si kidini tu.
Kwa hiyo Urusi hawamo naona hizi taarifa zinamapungufu Urusi katika intelligence ni noma!1.Police training-United kingdom
2.Special forces-USA and ISRAEL
3.Gollilar war,military displine and military organization-CHINA
4.Airforce Training-USA
5.Intelligence-Vatican