msimamizi wa harusi yuko pale ili kukamilisha tukio hilo, ambalo ni pamoja na kufungua mziki,kwani ukifungua mziki na msimamizi mwenzio wa ndoa wakati mke/mumeo yupo maanake humpendi mumeo/mkeo au unakamilisha ratiba ya unayemsimamia for 3minutes!!Nailyne... if your man or woman is around... Why would you want to dance with another??
msimamizi wa harusi yuko pale ili kukamilisha tukio hilo, ambalo ni pamoja na kufungua mziki,kwani ukifungua mziki na msimamizi mwenzio wa ndoa wakati mke/mumeo yupo maanake humpendi mumeo/mkeo au unakamilisha ratiba ya unayemsimamia for 3minutes!!
Ushamba tu na wivu wa kitoto, maana kwenye gari koote wanakaa pamoja, kule mbele story wanapiga itakuwa kufungua music ambapo wanafungua mbele ya kadamnasi? wanaharibu tu harusi za watu ni bora kama una wivu sana mkatalie partner wako kusimamia harusi
halafu watu wengi hawajui....ukiwa na chemistry na mtu mwingine
huwa inaongeza mno hamu kwa mpenzi wako pia....hasa kama na yeye yupo hapo.....
ku flirt na watu wengine huongeza hamu ukirudi home...
kuliko kugandana na mtu wako tu huyo huyo....

Ushamba tu na wivu wa kitoto, maana kwenye gari koote wanakaa pamoja, kule mbele story wanapiga itakuwa kufungua music ambapo wanafungua mbele ya kadamnasi? wanaharibu tu harusi za watu ni bora kama una wivu sana mkatalie partner wako kusimamia harusi

Nilisimamia harusi tatu bila mume wangu, kwenye ya kwanza mke wa bestman aliinsist kufungua naye mziki, akiwa amekiacha kitoto cha mwezi mmoja ili kumstalk bwana harusini..luckly my husband was around
Kwenye ya pili mke wa bestman aliingia katikati ya dance na kumvuta mume wake na kukata mauno hadi chini kwenye mziki wa kawaida tu, it was such a huge embarrasment to the wedding actually, luckly mdogo wangu alikuwa one of the bridegroom mates so nikadance naye to the end
Ya tatu the bestman's wife was a friend and wedding went well
Solution: I only agree if they request me and my husband, but I fail to understand public dance insecurity!
wakuu ukiangalia harusi za siku hizi nyingi utakuta wasimamizi wa harusi sio mke na mume sasa ukifika wakati wa kufungua mziki unashtukia bestman mkewe huyu hapa kaja kuchukua mumewe na matroni na yeye mumewe huyu hapa anakuja kucheza na mkewe na mbaya zaidi unakuta saa nyingine msimamizi mmoja mwenzi wa wake wa ndoa hajaja kwenye hiyo harusi basi kwa sababu kashanyanywa patna anabaki kushanga shangaa tuu ukumbini, swali langu hivi nini hasa watu wanachofikiria hadi kumkataza mke/mume akisimamia harusi asicheze na matron au patron ambaye si mkewe? ni wivu, kutoaminiana, au kutojiamini??
ku flirt kwa wandoa kuna faida as u said bt chances za kuleta madhara ni kubwaa,ikiwa wote mnao flirt mnajua mipaka yenu thats okay,bt kama mmoja ana flirt wakati mwingine yuko serious...ul be introuble the boss!

Nilisimamia harusi tatu bila mume wangu, kwenye ya kwanza mke wa bestman aliinsist kufungua naye mziki, akiwa amekiacha kitoto cha mwezi mmoja ili kumstalk bwana harusini..luckly my husband was around
Kwenye ya pili mke wa bestman aliingia katikati ya dance na kumvuta mume wake na kukata mauno hadi chini kwenye mziki wa kawaida tu, it was such a huge embarrasment to the wedding actually, luckly mdogo wangu alikuwa one of the bridegroom mates so nikadance naye to the end
Ya tatu the bestman's wife was a friend and wedding went well
Solution: I only agree if they request me and my husband, but I fail to understand public dance insecurity!

asante kwa kushare yaliyojiri.. sasa kama huyo mwanamke aliyekuja kumvuta mumewe na kuanza kukata mauno alikuwa anajaribu kuleta picha gani, sometimes watu wanaharibu shughuli za watu bana, mimi harusi ya mdogo wangu matroni mumewe hakuwepo ukumbini alikuja almost muda wa kufungua mziki, na akaja pale mbele chini kapiga sendals,pensi na ki-tishirt flan hivi ,tukiangalia cd za hiyo shughuli huwa tunacheka sana...,
How close is close? Nadhani ni tofauti tu ya mitizamo. Kuna wengine hawapendi wapenzi wao 'washikwe' na mtu mwingine wa jinsia tofauti, kwa wengine pengine hili sio tatizo kabisa. Na wengie hawapo comfortable kushikwa na mtu mwengine (asiye mumewe/mkewe) 'mbele za watu'!

kama umesimamia harusi tatu

basi wana haki ya kuwa na wasiwasi

itakuwa something about the way you look........lol