Nailyne
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 350
- 111
wakuu ukiangalia harusi za siku hizi nyingi utakuta wasimamizi wa harusi sio mke na mume sasa ukifika wakati wa kufungua mziki unashtukia bestman mkewe huyu hapa kaja kuchukua mumewe na matroni na yeye mumewe huyu hapa anakuja kucheza na mkewe na mbaya zaidi unakuta saa nyingine msimamizi mmoja mwenzi wa wake wa ndoa hajaja kwenye hiyo harusi basi kwa sababu kashanyanywa patna anabaki kushanga shangaa tuu ukumbini, swali langu hivi nini hasa watu wanachofikiria hadi kumkataza mke/mume akisimamia harusi asicheze na matron au patron ambaye si mkewe? ni wivu, kutoaminiana, au kutojiamini??