Best man na Bibi harusi

Mmmmh niseme tu ni umalaya

ila tofauti na hapo ukiona mwanamke amecheat basi ameenda kupunguza stress maana unampenda mtu ambae hajari upendo wako hana md na wewe basi mwanamke anaamua vyovyote.

N:b kule anapokwena ku cheat hata siku moja hawezi kusikia raha maan mda wote mawazo anawaza kupenda asipopendwa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuolewa imekuwa sifa saivi, hakuna heshima ya ndoa tena.
Watoto wa kike wamepoteza kabisaa ladha ya ndoa
 
Kila mtu anaingia kwa sababu zake!!!
1. Umri unaenda
2. Marafiki wote wameolewa kasoro wewe
3. Presha toka kwa wazazi
4. Kutafuta wa kumlea
5. Kuenjoy sex
6. Kupata mtoto
7. Love tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…