kichwatyou can't really tell. It all depends on your orientation, age, objectivity, level of education, hobbies, state of mind, etc.
For me this is the best blogg
Tesdo
Asante kwa ushauri wako lakini mbona umejaribu site:tesdo-tabora.blogspot.co.uk badala ya site:tesdo-tabora.blogspot.com wakati kwa jamii forums na michuzi umetumia kama zilivyo.. ata jamii forums ukiseach kama ulivyosearch yakwangu kwa kutumia .co.uk itaonesha haijawa indexing.. unaweza kunifafanulia kidogo?Hivi umefanya index ya hii blog kwenye google au bing?
Nenda google kisha andika site:tesdo-tabora.blogspot.co.uk Gonga enter .Matokeo ni nini ?
Kisha jaribu site:issamichuzi.blogspot.com au site: Jamiiforums.com
Utagudua tofauti hapo wewe hujakamiisha ku index blog yako kwenye search engine.
So Ufanye nini ?
Tumia Google webmaster tool kuongeza wigo wa upatikanaji blog yako. Ziko njia nyingine lakini hiyo nadhanini rahisi.
Alafu kama unaweza kuchakauchua sio mbaya hiyo menu hayo maneno ya HOME,ABOUT US,CONTACT US yawe kwa kiswahili.
Anyway sio nguli sana ni mtazamo tu
Asante kwa ushauri wako lakini mbona umejaribu site:tesdo-tabora.blogspot.co.uk badala ya site:tesdo-tabora.blogspot.com wakati kwa jamii forums na michuzi umetumia kama zilivyo.. ata jamii forums ukiseach kama ulivyosearch yakwangu kwa kutumia .co.uk itaonesha haijawa indexing.. unaweza kunifafanulia kidogo?
Asante sana nakumbuka wewe ndo ulikua mtu wakunishauri mimi wakati nataka kuanza kudesign blog.. sikuwa najua nifanyaje japo nilikua naujuzi kidogo wa html,css na javascript... ushauri wako ulikuamzuri na mpaka sasa nimeshatengeneza blog za watu zipatazo tano baadhi ya hizo nilipewa pesa si haba... nanimekua nikifanya blogging kama extra activities... Asante sana kwa ushauri wako mzuri wa kipindi kile.. Kuhusu kuweka menu kwa kiswahili ni vizuri ila hii blog siyakwangu bali mimi naifanyia maintainance tu ni ya asasi isiyokua ya kiselikali na wadhamini wao wengi wanatumia lugha ya kiingereza ndio maana niliamua kuweka ivyo....Niifanya kosa. Badala ya .com nikaweka .co.uk ndio maana sikupata kitu. Kumbe Index yako iko sawa usijali sana
Asante sana nakumbuka wewe ndo ulikua mtu wakunishauri mimi wakati nataka kuanza kudesign blog.. sikuwa najua nifanyaje japo nilikua naujuzi kidogo wa html,css na javascript... ushauri wako ulikuamzuri na mpaka sasa nimeshatengeneza blog za watu zipatazo tano baadhi ya hizo nilipewa pesa si haba... nanimekua nikifanya blogging kama extra activities... Asante sana kwa ushauri wako mzuri wa kipindi kile.. Kuhusu kuweka menu kwa kiswahili ni vizuri ila hii blog siyakwangu bali mimi naifanyia maintainance tu ni ya asasi isiyokua ya kiselikali na wadhamini wao wengi wanatumia lugha ya kiingereza ndio maana niliamua kuweka ivyo....
Home - Achuver | The Ultimate Social News Portal I like the design.
Home - Achuver | The Ultimate Social News Portal I like the design.
View zangu hii Template design ni bomba zaidi kwa shrika la habari lenye resouces na watu na waadishi kama TBC , StarTv ,IPPMedia. Thats my view I might be wrong
For u Iniviadual like u Givenality or mtazmaji atleast U need a team of least six people. Ukipata colluminist/hobyst wa michezo, mwingine wa afya, mingine wa Biashara na uchumi, Elimu ,Teknolojia etc . atleast kila moja awe ana publish article moja per week sio mbaya.
Its so crowded(Heavy duty) template-design to be managed by one or two people.
Alafu hivi umeshafanyia uchunguzi urahisi au ugumu au matatizo ya registration hapo. Duh ebu tafiti how is your best desing inamrahisisia user kuinteract. NIlitaka kurusha article moja lakini nimeshindwa . Naabiwa invalid token. Karibu attempt 8. Hizi CAPTCHA zenyewwe hazioneani vizuri. betttr uondoe tu mwazoni mwazoni
i like you site ipo poa sana.ue ni sukuma kufanya jambo na mimiHome - Achuver | The Ultimate Social News Portal I like the design.
i like you site ipo poa sana.ue ni sukuma kufanya jambo na mimi