kaka-blaza
Member
- Nov 7, 2019
- 96
- 141
Stive mweusi kiukwelii bado ... sometyme anagusa sometyme anapoteanaWakina Stivu siwaelewi kabisa hakuna clip yao hata moja ambayo naweza kutoa hata asilimia 45
Huyo brother k hata kama ulikuwa na ratiba ya kununa hiyo siku ,utacheka tu1.Joti
2.Brother k
3.Bigbig
Sura yake tu ni kichekeshoHuyo brother k hata kama ulikuwa na ratiba ya kununa hiyo siku ,utacheka tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama Emma,
Kwenye standup namkubali Deogratius hasa na kile kichekesho chake cha mbele ya mademu.
Anakwambia hata Yesu alikuwa kapigwa kinoma kabebeshwa na msalaba, ila akina magdalena walipokuja na kuanza kumpa pole na kumlilia, akaona hawezi aibika mbele ya mademu akawambia mbona mimi fresh tu, jililie nyinyi na watoto wenu. Ila baada ya kufika kwa wana akina petrol akaanza kulia petro nisaidie hawa mbwa wataniua.
Pungasese ndo nani..?Dulvan
Pungasese
Mama Debora
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda tiktok ka search utamuona, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pungasese ndo nani..?