Best Buy To Layoff about 2,400 workers. Wabeba boksi mmepona?

Kama kuna wabongo waliokumbwa na msukosuko huu ombeni msaada tuwasaidie hata kwa michango. Msife na tai shingoni.
 
Halafu huyu bwana inaonekana upo mitaa hiyo hiyo ya hao unaowakandia kuwa wabeba box. Hao Geek Squad ilikuwa ni kampuni unayojitegemea kabla hawajanunuliwa na Best Buy, wanaweza kurudi kuwa kivyao tena kundeleza umahili wao kwenye mambo ya computer.
 
Wacha masihara. Hii topic muhimu. Kama kuna wabeba boksi waliokumbwa na kimbunga hiki tuwasaidie.

Saidia nduguzo kijijini kwenu wewe. Wabeba maboksi waliokumbwa na dhahma ya layoff watavuta unemployment.
 
Back
Top Bottom