permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,328
- 15,036
Diego Forlan ndio baba lao.Rivaldo hapana Mkuu. Mguu wake wa kulia ulikuwa ni wa kutembelea tu.
Diego Forlan ndio baba lao.Rivaldo hapana Mkuu. Mguu wake wa kulia ulikuwa ni wa kutembelea tu.
Acha kukurupuka mkuu wapi Kuna orodha
watu wa mpira hawana maajibu haya kama yako, haya ni majibu yenu watoto mchele mcheleAcha kukurupuka mkuu wapi Kuna orodha
Unamjua mason greenwood?Ni vile hajitambui tu ila ni mchezaji pekeake kwa kizazi cha sasa mwenye kipaji cha kutumia miguu yote miwili kwa usawa katika kila kitu
Shida kichwani ni nyeto tu anawazaView attachment 3267996