best android themes

best android themes

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,556
Reaction score
4,165
hebu tupia android theme kali unayoikubali......
 
Zinaitwa Launchers... Best kwangu ni hizi
1. Mini Launcher
2. Action launcher
3. Nova launcher
 
apex launcher ni nzuri hata kupita nova au go launcher, iko simple na ukiwepka apex notifier ndo inakuwa balaa zaidi. lakn kwa sasa natumia launcher windows 8. clean and simple+customizable.
 
hebu tupia android theme kali unayoikubali......

Zinaitwa Launchers... Best kwangu ni hizi
1. Mini Launcher
2. Action launcher
3. Nova launcher

Launcher na theme ni vitu viwili tofauti....
Theme mara nyingi utazi enjoy kama umeweka Custom ROM maana unakua na option ya theme Manager japo sio lazima uwe umeweka Custom rom ndo utaweka theme
Mfano mm natumia APEX LAUNCHER na UBUNTU THEME
 
Attachments

  • 1403107291188.jpg
    1403107291188.jpg
    36.7 KB · Views: 434
Launcher na theme ni vitu viwili tofauti....
Theme mara nyingi utazi enjoy kama umeweka Custom ROM maana unakua na option ya theme Manager japo sio lazima uwe umeweka Custom rom ndo utaweka theme
Mfano mm natumia APEX LAUNCHER na UBUNTU THEME

Sijakuelewa Vizuri hapa Bwana njunwa wamavoko

Unatumia apex launcher na theme ya Ubuntu?.. Au mi naona kama wallpaper hapo ya Ubuntu

Maana mi nakumbuka Theme tulikuwa tunatumia kwenye simu zetu za Nokia na zilikuwa zinabadili muonekano. Ambapo huku kwenye android ndo zinaitwa Launcher
 
Last edited by a moderator:

Theme na Launcher ni vitu tofauti japo ndani ya Launcher karibia zote kuna Option ya kubadili Theme
Mm hapo sio wallpaper ya ubuntu bari ni Theme ya Ubuntu angalia hata "start Icon"
Au angalia "Theme settings" katika aPex laucher
 
Attachments

  • 1403108060929.jpg
    1403108060929.jpg
    30.7 KB · Views: 363
Last edited by a moderator:
launcher ni kama mfumo endeshi (OS)wa theme, kuna theme tofauti kwa launcher tofauti, japo nyngne huweza kufunctions kwa launcher tofautitofauti, lakini huyu jamaa anapoulizia 'THEME' inakuwa ngumu kumjibu sbb hakuna 'Theme' ambayo ni Standalone. zote huhtaji launcher, na kila launcher ina uzuri na ubaya wake, kwahyo swala ni 'LAUNCHER' mana ndio inayohold hizo themes, na functions zake au limitations zake
 
Launcher 8 customized. Unaweza weka tiles za size tofauti na ukaweka backgroundw ya picha unayotaka toka katika phone memory. Ur imaginations be the limit!
 
Attachments

  • 1403124029753.jpg
    1403124029753.jpg
    47.9 KB · Views: 273
Launcher 8 customized, more screen. Infact, cm inakuwa yaresemble Nokia Lumia. Mi natumia Tecno P5.
 
Attachments

  • 1403124597014.jpg
    1403124597014.jpg
    60.4 KB · Views: 252
Kama Lumia, unaslide tiles kwenda kushoto, kupata main menu... Cjajua tofauti yake na lumia, sbb kuna jamaa yangu ana Lumia 620 ckuona tofauti kubwa
 
Attachments

  • 1403124971247.jpg
    1403124971247.jpg
    47.1 KB · Views: 235
launcher ni kama mfumo endeshi (OS)wa theme, kuna theme tofauti kwa launcher tofauti, japo nyngne huweza kufunctions kwa launcher tofautitofauti, lakini huyu jamaa anapoulizia 'THEME' inakuwa ngumu kumjibu sbb hakuna 'Theme' ambayo ni Standalone. zote huhtaji launcher, na kila launcher ina uzuri na ubaya wake, kwahyo swala ni 'LAUNCHER' mana ndio inayohold hizo themes, na functions zake au limitations zake

Hapo mekupata poa saaana.... so hapo issue ni kudeal na launcher sio....
 
Daaaa jaman nashkuru sana kwa elimu nloipata hapa coz metoka na wazo la kuleeeee kwenye vi nokia vyetu tulivyo viacha tunakuja na mawazo ya kule moja kwa moja.
Hapo sasa meelewa
 
Back
Top Bottom