Bernard Morrison asimamishwa Simba SC kwa utovu wa nidhamu

John Haramba

JF-Expert Member
Feb 4, 2022
365
1,373
20220204_173645.jpg

Mshambuliaji Bernard Morrison hakuonekana katika mchezo wa jana Februari 3, wa timu yake ya Simba dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Mkapa katika Ligi Kuu Bara.

Hakuna taarifa rasmi juu ya Mghana huyo, lakini mapema leo amepost picha akiwa amebeba mabegi kama vile mtu ambaye anajiandaa kusafiri. Hajaweka wazi zaidi ya kuandika:

“Something huge about to BLOW”
"Guess what??

Sasa anadaiwa kuwa alisimamishwa na uongozi baada ya kile kilichoelezwa kuwa alitoka kambini bila ruhusa, kitendo ambacho ni utovu wa nidhamu.

Viongozi wamekasirishwa na kilichotokea na kuna uwezekano mkubwa akaondoka baada ya mkataba wake kumalizika au hata kabla ya mkataba kumalizika kwa kuwa timu imekuwa haifanyi vizuri hivi karibuni, huku Morrison mwenyewe akishindwa kuonyesha kiwango cha juu.

FKvYzEQVkAU_1F5.jpg
 
Simba SC Ni Kama Mfa Maji Hakosi Tutapatapa.

Sasa Pamoja Na Kujikokota Na Kusuasua Kote Katika League Wameanza Kufukuzana.

Baadae Wanarudi Na Kusema Wamerogwa, TFF Wampendelea Young Africans Mara Wanahujumiwa Na GSM.

Acha Tuone Hadi Mwisho Wa Msimu Wanangu Dar Young Africans Tuendelee Kutimiza Majukumu Yetu.
 
View attachment 2107718
Mchezaji anatumia muda mwingi kujichetua nje ya uwanja🚮🚮
 
Iwe kweli au si kweli lakini Simba kumsajili Morrison ilikuwa ni Jambo ya ovyo kama Yanga walivyotaka kumsajili Mkude. Mwanamke mkorofi atadumu kwenye ndoa kama tu atabaki Kwa mwanaume aliyemzoea.
Biashara ya usajili ni ngumu kwa kila team Duniani huwezi kulaumu uongozi wa Simba,
 
Simba SC Ni Kama Mfa Maji Hakosi Tutapatapa.

Sasa Pamoja Na Kujikokota Na Kusuasua Kote Katika League Wameanza Kufukuzana.

Baadae Wanarudi Na Kusema Wamerogwa, TFF Wampendelea Young Africans Mara Wanahujumiwa Na GSM.

Acha Tuone Hadi Mwisho Wa Msimu Wanangu Dar Young Africans Tuendelee Kutimiza Majukumu Yetu.
ha ha nyie mmefanya nini zaidi ya kuongoza ligi mkuu, simple ni hamna zaidi ya makelele
 
Siwezi kuacha kulaumu viongozi wanosajili Kwa kukomoana. Si Yanga si Simba wote Wana utamaduni huo wa ovyo.
Umeisha sema "utamaduni" by the way viongozi hawako kwa ajili ya kuridhisha kila mtu,
 
Back
Top Bottom