Uyo mpaka siku akimfata babra na magoli ofisini kwao akiwa uchi ndo watajua kuwa ni mwezi mchanga, Kama alivua nguo akabaki na chupi mbele ya mgeni rasmi kighoma na viongozi wake wakamkenulia meno tu bila kumfanya chochote unafikiri anaofia nini, acha wamlee atakuja kuwadhalilisha kwa matukio zaidi ya ayo