NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,206
- 12,747
USM Alger, watakuja na mbinu ya kulinda/ kujilinda na kukaa nyuma ya mpira ikiwapo na zoezi la kupoteza muda ili mradi wasiruhusu goli nyingi/wapate sale ili wakienda kwao waisurubu Yanga.
Hii gemu namuona tutu tundu Toto tukutu mwenye talent/talanta kubwa sana ya kudribo mpira ndani ya box la mpinzani siyo mwingine Bali namuongelea Bernard Morrison.
Kutokana na umahili wake wa kuchezea mpira kwa confidence ya juu anaweza kuwafungua mabeki/ kusababisha penati au faulo ndani ya kumi nane na faulo kwa wapigaji wazuri italeta matunda mzuri kwa Yanga.
Endapo the Big Brain coacher (BBC) Prof Nabbi akimpa nafasi huyu Toto tundu basi tutegemee mazuri kwa asilimia themanini (80) endapo Morrison atakua ameamka vizuri.
"Why not us" hakika Yanga ni bingwa.