Bernard Membe ni kachero asiye na maarifa, mwingi wa tamaa na majivuno

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Kuna wqtu utumika kumsifia Membe kama kachero Mbobezi bila kueleza amebobea kwenye lipi? Je, nchi yetu inaweza kujivunia Membe Kama kachero au ni mtumishi wa Umma aliyeajiriwa ofisi nyeti kwa kipindi flani?

Kwa namna alivyojitanabaisha wakati akiwa Mbunge, akawa Waziri na baada ya kupokonywa tonge la kuwania Urais utabaini alibebwa na mfumo lakni yeye mwenyewe hana uwezo wa siasa wala nguvu ya hoja.

Hana taarifa sahihi kuhusu mfumo wa serikali na kuishi kwake hadi anazeeka kunaonyesha anasubiri kubebwa siyo kusimama Mwenyewe.

Kuweka watu wa aina hii kwenye kundi la wababobezi ni kushusha hadhi za makachero wabobezi. Mbezi hana kazi yoyote amewahi kuifanya katika ngazi ya Jimbo na ngazi ya kitaifa inayoonekana, majungu tu na kuwasagia sumu wengine wasifanikiwe.

Namwona Membe kama kiumbe mwenye tamaa na majifuno anayetaka wakati wote kutawala na kusimama vichwani mwa watu.
 
Upo sahihi kabisa. Membe namwona MTU, mwepesi na ambaye hajui hata kujieleza. Anaongea kama MTU ambaye hana elimu yeyote. Kwa ufupi hana kitu chochote kichwani.
 
Msiwe mnawachafua watu humu jukwaani. Ni nani amewahi kua Raisi wa nchi kwa uwezo wake binafsi bila sapoti ya mfumo? Kama mfumo haujapanga uwe Raisi hata kama una akili nyingi huwezi penya kabisa!
 
"HATOKI MTU HAPA! Wale wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza tarehe 15 September 2020 October ni Kimbunga kumba-kumba! Watanzania kaeni chonjo!"

- Bernard K. Membe
 
Makachero pekee tulionao waTZ ni Lowassa, Slaa, Mbowe, Lipumba, wengine wote ni fakes
 
Mzee alikuwa zake katulia Rondo mmemfuata wenyewe, sasa nguzi dhidi yake zimeanza....
 
Msiwe mnawachafua watu humu jukwaani!!!Ni nani amewahi kua Raisi wa nchi kwa uwezo wake binafsi bila sapoti ya mfumo? Kama mfumo haujapanga uwe Raisi hata kama una akili nyingi huwezi penya kabisa!
Sasa Hangaya kawekwa na mfumo gani? Au kawekwa na wahuni tu
 
Hata mimi sijawai ona uwezo wa huyo Membe, nilichokiona ni yeye sura kufanana na Rais mstaafu J. Kikwete
 
Back
Top Bottom