Bernard Membe enzi za ujana wake

Status
Not open for further replies.
Muhongo akikosa kuteuliwa kugombea Urais, basi ujue ndio Waziri wako Mkuu mpya 100%

Muhongo Hawi Waziri Mkuu BALI Nakuhakikishia Kuwa Professor Sospeter Muhongo Ndiyo Rais MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Hiyo Mtake Msitake Mchukie Na Mpende Na NIMESHAWEKA HAPO NADHIRI YANGU KWENU KUWA KAMA YASIPOTOKEA HAYO YOTE NILIYOYAELEZEA HAPO NITAJITOKEZA HADHARANI WATANZANIA WOTE MNIPIGE MAWE HADI NIFE!
 

...Mods anzisheni jukwaa la rwanda ili hawa warwanda waende kwenye majukwaa yao.
....maana huku wanatuchafulia mambo tuu.
 
...Mods anzisheni jukwaa la rwanda ili hawa warwanda waende kwenye majukwaa yao.
....maana huku wanatuchafulia mambo tuu.

Nyerere Aliwahi Kusema " Mtu Aliyefilisika SERA Na AKILI Kichwani Muda Wote Fikra Zake Zimekaa KIBAGUZIBAGUZI Tu Na Hana Tofauti Na Mkaburu Wa South Africa ". Mwisho Wa Kunukuu! Na Sisi Tuwafukuze Watanzania Kwetu Rwanda? Umeshanidhihirishia Uwezo Wako Finyu Na Hafifu Wa KUFIKIRI.
 

Wewe mburula acha kuwachanganya watu hao wapishi wako hawana weledi; haiwezekani kuwa na Rais wa Jamhuri ya muungano na Makamu wake wote kutoka bara!! Unatumia katiba gani? Huyu wakuja ni CONFUSIONIST/PROPAGANDIST aliyepandikizwa janvini!!
 
Mkuu mbona umesigina katiba maana makamu LAZIMA atoke upande mwingne wa nchi. Hapa Serengeti wanasema haipo hivyo mkuu labda ulikua unasikia majina ya wakuu wa wilaya

Kwani Ni Mara Ngapi Nimekuwa Nikisema Mambo Humu Tena NYETI Halafu Mnayakataa Na Baadae Yanakuja Kutokea? Sijawahi Kusema Jambo Humu Kwa Kubahatisha Na Narudia Tena NILICHOKIANDIKA HAPO NDIYO HICHO HICHO Mkuu Amini Maneno Yangu!
 
Wewe mburula acha kuwachanganya watu hao wapishi wako hawana weledi; haiwezekani kuwa na Rais wa Jamhuri ya muungano na Makamu wake wote kutoka bara!! Unatumia katiba gani?

Natumia Katiba Ya KINYESI Chako!
 
Ule utaratibu wa Rais kutoka bara, makamu anatoka visiwani hautakuwepo tena? Au nimepitwa na wakati!
 
SIO KIRAHISI HIVYOOO..
MASWALA YA KIINTELIGENSIA HAYAROPOKWI KAMA ULIVOFANYA....
By the way umedhihirisha jinsi ulivyo mtu wa kukurupuka na mweupe, umeongea issue zilizo hewani hewani sana kutoka katika fikra zako.
 
Hizo sababu 15 nadhani utazitolea uzi au unasubiri muda ufike akitia timu tu unaweka mambo hadharani?embu mwaga mkuu mchele huo....
 

ha ha ha ha....kazi kweli kweli. Unajua uzuri wa huku ndani ni hizi ID za kujificha ficha.
 
SIO KIRAHISI HIVYOOO..
MASWALA YA KIINTELIGENSIA HAYAROPOKWI KAMA ULIVOFANYA....
By the way umedhihirisha jinsi ulivyo mtu wa kukurupuka na mweupe, umeongea issue zilizo hewani hewani sana kutoka katika fikra zako.

Nakubalika Na Hao Hao Mabosi Zako Huko Uliko KIKAZI Kuliko Hata Wewe STAFF Wao Unavyodhani. Na IPO Siku Mtanipigia Salute Tu.
 
unatofauti na yeriko nyerere
 

We jamaa ni muongo na mzandiki wa haja! Nani kakwambia JK aliwahi kuwa huku TISS na akawa ana report kwa Membe? JK hajawahi kuwa TISS na Membe hajawahi kuwa bosi wa JK! Acha uongo na upotoshaji kutafuta sifa za kijinga.


Hiyo katiba umetunga wewe na ndugu zako sebuleni kwenu? Toka lini Rais akitoka bara na makamu wake naye anatoka bara? Rudi shule kasome civics form 2! Wewe ni kilaza, eti Nchimbi makamu wake Lowassa!? Nenda Facebook kawasanganye watoto vilaza wenzio hili ni jukwaa la great thinkers na wewe siyo mmojawapo!
 
Kwani Ni Mara Ngapi Nimekuwa Nikisema Mambo Humu Tena NYETI Halafu Mnayakataa Na Baadae Yanakuja Kutokea? Sijawahi Kusema Jambo Humu Kwa Kubahatisha Na Narudia Tena NILICHOKIANDIKA HAPO NDIYO HICHO HICHO Mkuu Amini Maneno Yangu!

Sawa mkuu lakn c nmekuambia katiba zote mbili hii tusiyoitaka na ile ya zamani zote zinasema makamu atokee upande mwingne labda urekebishe useme Waziri mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…