Bernard Membe anusurika ajali ya ndege

Bernard Membe anusurika ajali ya ndege

Yethero Mgale

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
525
Reaction score
228
Mtia nia ya urais na waziri wa mambo ya nje na ushirikiano, Membe jana amenusurika ajali baada ya ndege aliyokuwa amepanda alimanusura igongane na ndege nyingine wakati akielekea Zanzibar kutafuta wadhamini.

Chanzo: RFA-Magazetini leo

membe2.png

membe.png
 

Attachments

  • mwananchi.png
    mwananchi.png
    95.9 KB · Views: 1,306
wakomee!!wametulia pesa zetu bado wanatuomba tena ili warudi wale ma pesa za watoto wetu.Mbona UKAWA tumetulia tu!??
 
wakomee!!wametulia pesa zetu bado wanatuomba tena ili warudi wale ma pesa za watoto wetu.Mbona UKAWA tumetulia tu!??

Mgombea wa Ukawa yuko mazoezini Ulaya kujitayarisha kwa kampeni. CCM bado wanatafuta kapteni wa timu yao.
 
wakomee!!wametulia pesa zetu bado wanatuomba tena ili warudi wale na pesa za watoto wetu.Mbona UKAWA tumetulia tu!??
 
Hahaaaaa, watia nia wameanza kupigana vikumbo angani wakitafuta kuungwa mkonyo...

Mwaka huu tutakoma kwa vituko,, ngoja nitege rekoda yangu vyema...
 
Kuna taarifa kwamba Alikwenda katika ufunguzi wa mkutano wa UMAKI Huko Unguja kiofisi. Alipo kamilisha alikuwa Bungeni wakati wa bajati.
 
Tatizo anafikiri ndege ni sawa na mabasi kugongana ovyo.
Air collision kutokea ni ngumu sana maana kwenye ndege kuna CAS ambayo inataarifu ukaribu kati ya ndege mbili ili pilot aweze kudivert course of travel endapo watakuwa wanasafiri kuelekea njia moja ambayo itsababisha wagongane.
Na pia ni mara chache sana kwa abiria kujua hilo
 
Alikuwa katika ndege akitokea Iringa kwenda Zanzibar kusaka wadhamini. Ndege yake nusura igongane uso kwa uso na ndege nyingine wakati inatua! source Majira gazeti
 
Halafu jamaa amechakaa ghafla sana.! Nini shida inayomchakaza namna ilee fasta?
 
Back
Top Bottom