Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,324
Ameaibika asubuhi mapemaaYaani huyu alikuja act kwa kazi maalum
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Ameaibika asubuhi mapemaaYaani huyu alikuja act kwa kazi maalum
Si angemuunga mwenzake sawa na alivyoahidi awali?Sidhani Membe alikuja kuhujumu,alikuwa ana uhakika wa kufanya vizuri,lakini akashindwa kumpiku Lissu.
Na kwa kutumia hekima aliona hakuna haja ya kupoteza pesa na nguvu kugawa kura za upinzani.
Si vizuri kumsakama.
Kwa jinsi anavyo behave sasa hivi analipa gharama za kumrudisha CCM, yahani ile wavuruge ndo tukurudishe.Huyu ataomba na kubembeleza kurudishwa CCM maana alifukuzwa.
Nadhani mwaka 2025 Wapinzani hawatorudia tena kosa la kuokota makapi kutoka CCM
Makapi bado wanayo na yataendelea kuwemo. Mpaka kesho Nyalandu ataendelea kuwepo CDM.Huyu ataomba na kubembeleza kurudishwa CCM maana alifukuzwa.
Nadhani mwaka 2025 Wapinzani hawatorudia tena kosa la kuokota makapi kutoka CCM