Ni moja kati ya watangazaji chipukizi wa tv nchini na anajitahidi lakini sipendi tabia ya star tv ya kuwapanga watangazaji katika vipindi mchanganyiko mara sports news,mara tuongee asubuhi,mara miziki,mara kusoma hard news huyohuyo.....

mi nlichotaka mkuu ni kujadili credibility ya huyu kijana..manake ni tumezoea kuona watangazaji wengi wanamajor katika fani moja,kama ni entertainment ni hiyo tu,kama ni news ni hiyo tu na kama ni michezo ni michezo tu..mfano mchukue malini hasan mweke katika africa one,au mariam migomba mweke katika jambo leo akimhoji wilbroad slaa....thats ma point
Star tv watangazaji wanazunguka vipindi tofauti, na mara kadhaa hawamudu wanapowapeleka.
Mathalani, Muhsin Mambo yupo kwenye news bulletin, kesho kwenye soccer, the other day kwenye music etc.
Ni problem ya uongozi tu hawajui ku-identify nani anafaa wapi na kwa wakati gani.
huwa ana kipindi cha masebene live star tv jumatatu na alhamisi saa saba kamili mchana hadi nane na nusu ..ngoja leo nimwone then ntasema kitu..binafsi napenda anvyoviendesha vipindi vya muziki coz anajua nini mtazamaji anapenda sio kuweka matakwa yake binafsi........
Ni moja kati ya watangazaji chipukizi wa tv nchini na anajitahidi lakini sipendi tabia ya star tv ya kuwapanga watangazaji katika vipindi mchanganyiko mara sports news,mara tuongee asubuhi,mara miziki,mara kusoma hard news huyohuyo.....
jamani mi kimsingi namzimia jamaa manake kama ni kiraka ni cha ukweli,huwa sioni makosa makubwa katika program zote hizo....na huu kwa mtazamo wangu ndo utangazaji wa kisasa,kufiti kila sehemu..sio unakariri tu kitu kimoja ikitokea shortage ya wafanyakazi inakula kwenu........