Bernard james star tv sports

Bernard james star tv sports

bayonet

Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
43
Reaction score
0
Huyu kijana anajiweza katika usomaji wa michezo star tv,binafsi napenda navyotamka maneno kwa ufasaha,kujiamini,kuwa easy,matumizi ya lugha ya mwili lakini pia mbwembwe zake..anazichungulia anga za kimataifa katika utangazaji
 
Back
Top Bottom