Morrison:- Tarehe ya leo 8/3/2020 ndio siku aliwanyima raha mbumbumbu fc afu miezi 5 baadae (8/8/2020) anawapa raha mikia na kinyume chake! Ila huyu bora kasepa zake angetusumbua! Mo amevunja kibubu si mchezo
ππππππ Hyo staili ya kupanda mpira mlitunyima nayo usingizi sana ila leo mmesahau. Mashabiki huwa tunamihemko sana hatunaga utulivu wa muda kumuelewa mchezaji