Bernad Membe afunguka, amshangaa Dr. Bashiru kukaa kimya

Bashiru kaingia mdikologo kaingia,msakeni mweeee!
Nalog off
 
Mmh! Hafai kuwa wakati amekua
 
Nchi imeharibika kila kukicha habari zile zile za kupinga wanaonyesha dalili za kumpinga Mkuu miaka hii anataka agombee Urais bila kupingwa na upinzani usiwepo,
 
Kama Tanzania tunataka kujiokoa na kutoelekea njia ya Zimbabwe,membe anatakiwa kugombea 2020.
Magufuli amefeli mambo mengi kwanza si kiongozi na hata kwenye utawala hajui analazimisha.
Nchi ambayo kila mtu ana lalamika tena ktk miaka 3 tu ya kuwa rais hilo ni tatizo,ndio maana akina bashite wanatamba na kunyanyasa watu wakati ni mazero na lkn wanabebwa.
Nina hasira mpaka basi,hatumtaki magufuli,hata akiiba kura 2020 nchi itakuwa chungu kutawalika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu jamaa ni akili kubwa kuliko polepole na bwana bashiru
 
Kuna utawala gani umeshawahi kutokea baadhi ya wananchi kukosa kulalamika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mwisho umenikumbusha mbunge "Bwege"
"Tunaanza upyaaaaaaaaaaaaa!!!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…