Sijaona tatizo lolote linalomfanya Seedorf kupewa kadi yoyote. Refaree hawezi kumwamulisha mchezaji kutokea sehemu wakati wa kubadilisha mchezaji halafu kikubwa zaidi, wakati anatoka alikuwa anakimbia na siyo kutembea kwa maana kuwa hakuwa anapoteza muda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.