Benzi made white gold/ diamond

Halafu mnasema waafrika mtaenda motoni...nyi moto wenu joto/moshi wa ma dcm hapa hapa duniani..........umekula raha gani wewe mpaka uende motoni
 
aisee arifu hiyo ikipita maeneo yetu lazima tuondoke walau na side mirror tukatengenezee vicheni duh!


anaruhusiwa kuendesha usiku tu kwa sababu ya reflection kwa driver wa gari nyingine coursing ajali

na kipaki lazima aweke ulinzi every corner
 
Aisee ni kama ya House Girl wetu, halafu matairi huwa yanazunguka ndipo linaondoka yasipozunguka lina simama.
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom