babacareeni
Member
- Jan 2, 2013
- 48
- 6
Nauza gari aina ya marcedes benzi nyeusi kwa bei ya tzs 7,000,000 ni gar kali haina tatz lolote,ina cc1998,ni ya mwaka 1998,imetembea km 101000 mpka sasa,ni automatic and manual transimition,full functional cd changer,ina ac,power window with sensor glass,inatumia petrol,c200.wasiliana nami kwa maelezo zaidi 0754865192 or 0715865192.niko dar