Marcedes benzi inauzwa TZS 7,000,000

Marcedes benzi inauzwa TZS 7,000,000

babacareeni

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
48
Reaction score
6
Nauza gari aina ya marcedes benzi nyeusi kwa bei ya tzs 7,000,000 ni gar kali haina tatz lolote,ina cc1998,ni ya mwaka 1998,imetembea km 101000 mpka sasa,ni automatic and manual transimition,full functional cd changer,ina ac,power window with sensor glass,inatumia petrol,c200.wasiliana nami kwa maelezo zaidi 0754865192 or 0715865192.niko dar
 
Hizo km zimefika 9999999999 afu zikaanza upya tena au?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nauza gari aina ya marcedes benzi nyeusi kwa bei ya tzs 7,000,000 ni gar kali haina tatz lolote,ina cc1998,ni ya mwaka 1998,imetembea km 101000 mpka sasa,ni automatic and manual transimition,full functional cd changer,ina ac,power window with sensor glass,inatumia petrol,c200.wasiliana nami kwa maelezo zaidi 0754865192 or 0715865192.niko dar

Ungetaja Model ya hiyo gari Mkuu, ukaweka na picha mbili tatu ingesaidia sana. Pia unaweza kuiweka hapa: http://www.facebook.com/groups/cardeals.tz/
wataiona wadau wengi zaidi.
Like the page and post your add!
 
hiv kumbe kuna gari ambazo na automatic na mannual kwa wakat mmoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom