So far hiyo ni kama cross over au mini SUV kama za Subaru Forester, Honda CRV au Porsche Macan. Hii bentley iweke kundi hili.
Unapoongelea Range Rover unaongelea Luxury levels za Rolls Royce, interms of power hata VX V8, Nissan Patrol au Chevrolet Suburban ni cha mtoto kwa Range Rover.
Range Rover is a combination of power and comfort. Kulinganisha na hyo Bentley hapo ni matusi makubwa sana.

Hata jamii za Land Rover hiyo gari haiwezi kuingia, huwezi ilinganisha na Evoque, Discoveries, Range Sport, Freelander.
ha ha ha ha ha mkuu umeandika kwa hisia unanekana unapenda sana magari hata mimi nimeonda iyo ngoma haingii kwa range rover.Range rover mziki mwingine aisee kwanza AC yake tu huisikii kulia vuuu iko kimyaaa unaisikia kwenye ngozi tu alafu ukute siti ni ngozi da utaipenda
Duh! wewe mshikaji Gari hata haijatoka umeshakuja na majumuisho? hayo yote uliyoyaongelea umeyapata wapi?
ha ha ha ha ha mkuu umeandika kwa hisia unaonekana unapenda sana magari hata mimi nimeona iyo ngoma haingii kwa range rover.Range rover mziki mwingine aisee kwanza AC yake tu huisikii kulia vuuu iko kimyaaa unaisikia kwenye ngozi tu alafu ukute siti ni ngozi da utaipenda
Duh! Huyo mnyama anauzwa $ mamilioni mangapi?
Bulldog huwa Namkubali sana kwenye kujua na kuchambua magari kama haya....hehehehe
Bado mambo iko hapa
£140,000 sawa na million 400,000 ya kwetu, sio chaguo langu kama ni mimi
Level gani unayoiongelea kwamba haitafikia?
Kampuni ya Volkswagen (VW) ambayo ndiyo Kampuni ya pili kwa Ukubwa Duniani baada ya Toyota kwa uundaji wa magari wanakuja aina Mpya kabisa ya gari aina ya Bentley Bentayga ambayo ndiyo itakuwa mshindani Mkubwa wa Range Rover ambaye mpaka sasa hivi amekuwa kama vile hana mshindani kwenye medani za SUV!
VW watazindua Bentley Bentayga hapo mwezi Septemba 2015!
Hizo picha ni concept tu ya jinsi labda itakavyokuwa kwani mpaka sasa hivi hakuna aliyeiona hiyo mashine ya Ukweli!