Beno Malisa umeona mbali hongera

Beno Malisa umeona mbali hongera

Joblube

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2011
Posts
369
Reaction score
151
Kitendo cha Beno Malisa kutogombea tena uongozi ndani ya UVCCM kulingana na mazoeya ya viongozi wengi wa CCM ni dalili tosha ya kuwa kijana huyu ni mjanja na anajua kusoma alama za nyakati. Naamini kijana huyu amegundua kuwa CCM haiponi tena na amekwepa asiwe mmoja ya ambao CCM itawafia mikononi. Hongera Beno kwa maono ya mbali.
 
Joblube ni kwamba Malisa haruhusiwi kugombea tena kwa kigezo cha umri
 
Back
Top Bottom