Beno Malisa, RZ1 waandaa kumpindua Shigella

Teh teh teh, Nyerere aliwahi sema ukila nyama ya mtu huwezi kuacha... sasa wanaendelea baada ya masuni, shigella, then.......
 
Nauliza swali moja....hivi Riz1 ataishi wapi baada ya baba yake kumaliza miaka 5 hii???maana ana adui kila idara kila kona....ataweza kwelii kuishi kama watoto wastaafuwengine?????

Ataishi kwa uzuri tu kwani si ndiye atakuwa rais wa tano wa tz.
 
Mimi sina shida na mada iliyoko mezani, ila username! Mwanzoni niliamini kabisa ni Saed Kubenea wa Mwanahalisi, lakini ile style ya kuandika ikanitia shaka. Swali, je ni sahihi kweli kutumia jina kamili lisilo lako hapa JF? Maana kama hutaki ujulikane kwa nini utake wengine wajulikane kwa posting zako, Mods ni sawa kweli?
 
mimi sijaona tatizo la shigela kuzunguka na wadada kibao,mbona huyo beno malisa juzi alikuwa na mrembo wa nguvu huko afrika ya kusini?sijajua bifu liko wapi hapa.tatizo chanzo cha habari kinajichanganya
 
kudadadadeki....nilikua na swali hilohilo Skills4ever...huyu jamaa nafikiri atatafuta safe heaven baada ya Babaye kuachia ngazi or else ajiandae kwani watu tuna hasira nae.
 
Si KWELI TAARIFA IMEJITOSHELEZA ,BENO MALISA NA RIDHIWAN WANATAKA KUMUONDOA SHIGELA KWA FITINA BASI MNATAKA NINI ZAIDI?ILA USERNAME YAKO MMH;;KUBENEA ANAHESHIMA KUBWA HAPA SIDHANI KAMA UNAMFIKIA

Kwa kuwa Kubenea ana nafasi yake katika jamii kutokana na mchango wake ndugu naomba ungetafuta username ingine ili tuendelee kumpa asante bwana kubenea
 
Wale vijana wanywa damu sasa wanajiandaa kumywa Martin Shigella kada yule aliyekuwa mkuu wa wilaya wilaya ya Mama Salma na akaletwa UVCCM kulinda maslahi ya kundi hilo. Hatua hii inakuja leo baada ya kummwaga Masauni wakisaidia na Bwana mkulu JK kwa kutumia taarifa feki kuwa alikuwa akisaliti kufanikisha kushinda safari ya pili kwa JK. Kipindi hiki inaelezwa jambo linalowaumiza ni mslahi huku Shigella akituhumiwa kubeba mabintikibao katika misafara yake ya kampeni ambao katika matukio tofauti walikunjana mashati baada ya kugundua kuwa wote wanavunjwa amri ya kumi na Shigella. Tuhuma hizi zinazoandaliwa na Ridhwan na Beno zinapangwa kwa umakini mkubwa ikiwa ni mkakati wa kumpachika binti mmoja jina nalitunza kwanza katika nafasi ya ukatibu wa UVCCM kwa kigezo kuwa nafasi hiyo inahitaji jenda ya kike. Taarifa hizi za ndani kutoka kwa watendaji wa UVCCM ambao wapo makao makuu na ambao nao walikuwa wakifanya ziara mikoani huku wakifanya haya haya wanayomtuhumu Shigella zinakuja wakati bwana mkubwa hajapewa majibu ya kwa nini asilimia zake zilipungua kwa kiwango hicho wakati yeye alifahamu angeopandisha kura kwa kuwa eti tafiti zilikuwa zikimuonyesha kuwa ni maarufu.

Nitazidi kuwapatia nyuzi kadri chanzo changu kilichoko karibu na Ridhwan kitakavyokuwa kikinipatia!!!

walivunja amri ya 6 siyo amri ya 10....rudi kajifunze amri kumi za mungu...
 
Kwa taarifa nilizopata ni kuwa habari hii ilichukuliwa hii ilichukuliwa humu na kisha kuchapishwa kwenye gazeti la Rai. Baada ya kuchapwa gazeti hilo limekusanywa mitaani halipo sasa na kisa ni Ridhwan kuomba msaada kwa baba yake ambaye katoa amri gazeti hilo lisisomwe leo.
 
Username na mtiririko wa habari yako vinatia mashaka.

Nami napata shida kidogo hapa. Saed Kubenea tunayemfahamu sote siku zote huwa ni MTU MWENYE UMAHIRI MKUBWA si tu katika kufichua vya uvunguni bali zaidi katika kuonyesha 'CONNECTED THINKING' ambayo kiukweli mimi sijaiona katika hii thread.
 
Kwa taarifa nilizopata ni kuwa habari hii ilichukuliwa hii ilichukuliwa humu na kisha kuchapishwa kwenye gazeti la Rai. Baada ya kuchapwa gazeti hilo limekusanywa mitaani halipo sasa na kisa ni Ridhwan kuomba msaada kwa baba yake ambaye katoa amri gazeti hilo lisisomwe leo.

Jamani kaomba saa ngapi msaada wa Baba yake, kwani Mhe Kikwete kesharudi kutoka kule sijui Ma-New York sijui wapi kule??? Kwa maelezo haya kidogo yananipa taabu sana ya kuyaamini kabisa.
 
Jamani kaomba saa ngapi msaada wa Baba yake, kwani Mhe Kikwete kesharudi kutoka kule sijui Ma-New York sijui wapi kule??? Kwa maelezo haya kidogo yananipa taabu sana ya kuyaamini kabisa.

kwani USA ni mbinguni?, wewe huna jamaa huko, hebu mtumia hata msg anapata, sasa rizone si anapiga simu na baba anatoa amri kwa wasaidizi wake huko dar na wanatyekereza
 
Rz1 anajitafutia kaburi la kisiasa kwa sababu anajijengea maadui wengi ambao watammaliza baada ya awamu ya 4. Umaarufu wa ghafla baada ya kuwa first son why??
 
Kaka Saed Kubenea uko wapi? Watu wameanza kuchonga sana kwa kutumia jina lako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom