Ya RZ1 na Beno na Malisa na shigella ni maandalizi ya Urais 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya RZ1 na Beno na Malisa na shigella ni maandalizi ya Urais 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BABA JUNJO, Jan 5, 2011.

 1. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uvumi toka jikoni unasema kwamba Kigogo anayetaka kiti 2015 (Simtajia) anataka kuimarisha nguvu zake ndani ya chama kupitia UVCCM. Na kitu cha maana na cha kwanza ni kuwa nguvu ndani ya Kamati kuu ya CCM(CC) ambayo Mwenyekiti wa UVCCM ni njumbe. Sasa Beno sio mjumbe wa CC. (Anakaimu nafasi ya Mwenyekiti UVCCM) Na ili awe Mwenyekiti na mjumbe kamili wa CC ni lazima Uchagizi ufanyike, na uchaguzi ukifanyika kwa Beno ni nugumu kuwa Mwenyekiti kwani utaratibu ni " Kama Katibu Mkuu anatoka Bara basi Mwenyekiti atoke Visiwani. Kwa hiyvo ukiitishwa uchaguzi wa mwenyekiti lazima majina ya wagombea yatoke visiwani.
  Sasa kinachotakiwa kufanywa (zengwe) Shigella atolewe na ateuliwe Katibu Mkuu toka Zanzibar ili majina ya mapendekezo yatoke Bara likiwemo la Beno Malisa ( mtetea kiti)
  Kwahivyo huo ndio mwanzo wa vita hii. Baada ya hapo mabo yatakuwa yametulia maana RZ1 na Beno sasa watafanya kazi ya kuwashawishi vijana wote juu ya mgombea huyo mpya na mambo ya takuwa mswano. Nimeipata kutoka jikoni hata kabla hawajapakuwa.
  Twende!!!!!!!
   
 2. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kaaz kweli kweli, ila vita ni ngumu!
   
 3. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Alama za nyakati, kama tutakuwa na katiba mpya na tume huru hizo dili zao ndani ya CCM hazina maana kwani uamuzi wa nane ashike nchi ni matokeo halisi ya kura za wananchi
   
 4. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uvumi toka jikoni unasema kwamba Kigogo anayetaka kiti 2015 (Simtaji) anataka kuimarisha nguvu zake ndani ya chama kupitia UVCCM. Na kitu cha maana na cha kwanza ni kuwa na nguvu ndani ya Kamati kuu ya CCM (CC) ambayo Mwenyekiti wa UVCCM ni mjumbe.

  Sasa Beno sio mjumbe wa CC. (Anakaimu nafasi ya Mwenyekiti UVCCM) Na ili awe Mwenyekiti na mjumbe kamili wa CC ni lazima Uchaguzi ufanyike, na uchaguzi ukifanyika kwa Beno ni ngumu kuwa Mwenyekiti kwani utaratibu ni "Kama Katibu Mkuu anatoka Bara basi Mwenyekiti atoke Visiwani". Kwa hivyo ukiitishwa uchaguzi wa mwenyekiti lazima majina ya wagombea yatoke visiwani.

  Sasa kinachotakiwa kufanywa (zengwe) Shigella atolewe na ateuliwe Katibu Mkuu toka Zanzibar ili majina ya mapendekezo yatoke Bara likiwemo la Beno Malisa ( mtetea kiti)

  Kwa hivyo huo ndio mwanzo wa vita hii. Baada ya hapo mambo yatakuwa yametulia maana RZ1 na Beno sasa watafanya kazi ya kuwashawishi vijana wote juu ya mgombea huyo mpya na mambo yatakuwa mswano. Nimeipata kutoka jikoni hata kabla hawajapakuwa.

  Twende!!!!!!!
   
 5. d

  dotto JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  haitawasaidia mambo yalishageuka labda ije kanu
   
 6. Bob

  Bob JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2011
  Joined: Sep 10, 2007
  Messages: 277
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Dr. E.N
   
 7. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,088
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  napita jamani.
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  how old will they be?
   
 9. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Wacha kuogopa, mbona haukumtaja huyo mgombea urais 2015? Umeniudh sana, unafcha kwa nini? Bora ungekaa kmya bwana!
   
 10. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hoja yako imekosa 'mashiko' kwa kutufichia huyo jina la huyo kigogo...Inabaki kuwa tetesi tu kama kwenye magazeti ya 'Shigongo' wanapozushia watu kisha kuficha majina ili wasije pelekwa mahakamani!
   
 11. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  tupe huyo anaetaka kugombea
   
 12. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,716
  Likes Received: 1,626
  Trophy Points: 280
  nasikia eti, eti mpaka lini weka wazi bwana
   
 13. n

  nkosiyamakosini Member

  #13
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona hujajitaja mwenyewe kuwa rais, kama unajiona huwezi waachie wawezao, porojo za nini? thanks
   
 14. N

  Nanu JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  It is a move, shigela atapewa nini? Au atapewa udc?
   
 15. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,493
  Likes Received: 2,738
  Trophy Points: 280
  Bila jina mzee, hii story yako haitakuwa na maana. Wewe siyo gazetu mpaka ufiche majina humu unless na wewe una personal interest kwenye hii issue???
   
 16. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0

  wa nini na wewe kwani hujui Rais 2015 ni Dr Slaaa?/
   
 17. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0

  achana nae wewe jua 2015 Dr Slaa ndio RAISI WETU hata kama mafisadi watamsimamisha Nyoka hawapati kitu
   
Loading...