Beno malisa kuwa mshauri wa e maige tangu lini jamani??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Beno malisa kuwa mshauri wa e maige tangu lini jamani???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Aug 18, 2011.

 1. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,471
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Mbona kikwete unajitia aibu jamani...hivi huyu beno amechaguliwa kama mshauri wa e maige waziri wa maliasili
  tangu lini jamani..yaani kukaa na vikao vyenu vya pombe mnaamka asbh ama wake zanu wamewapenda vijana
  wanashauri chagueni huyu jamani jamani mnatupeeleka enzi za ....mbona hivi
  malisa anajua nini kuhusu sekta ya vitalu vya uwindaji.....mmhh nchi hii kazi ipo
   
 2. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tunaishi kwa kutoambiana ukweli na uoga uliokithiri..! matokeo yake ndo hayo
   
Loading...