Benno Malisa aishambulia vikali CHADEMA

Hivi tuwe wakweli, tulitegemea Benno aisifie chadema?
 
Huyu Malisa ana matatizo ,kumbe hajui kuwa kazi ya chama makini cha upinzani kama CHADEMA Tanzania kazi yake ni kuwa 'WATCH DOG'kama serikali inashindwa kutekeleza kile ambacho wananchi wanakitaka lazima CHADEMA tuwakalie kooni.


HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE VIJANA WA CCM KAMA WANATAKA KUPAMBANA NA NGUVU YA UMMA WAJE WATATUKUTA
 
Hivi malisa ana taarifa kuwa mbunge wao wa bahi keshanasa katika tego la rushwa?? Nawashauri uvccm waanze kuyajibu aya yafuatayo yalozushwa na chadema:
1) ufisadi wa richmond
2) ufisadi wa epa
3) ufisadi ulofanywa na ezekiel maige
4) ufisadi ulofanywa mh mkullo
5) utoroshwaji wa twiga ulofanywa na m/ mwenyekiti wa ccm pius msekwa
mwisho ajue watanzania hatudanganyiki anymore, walobaki wakidanganyika wako uko uko dodoma, kwingine ajue atosikiliwa
 
vijana wapi! hivi nchi hii ina vijana wa CCM kweli! kama kuna sehemu hapa Mwanga hata vijana wa kuwabambikia uongozi ngazi ya Tawi wamekosakana hao anaowataja benno ni wapi! labda hao alioko nao Dodoma. Lakini sidhani kama kuna kijana mwenye akili timamu alieopo bado ni mwa uvccm
 
Reactions: FJM
Huyu Malisa ana matatizo ,kumbe hajui kuwa kazi ya chama makini cha upinzani kama CHADEMA Tanzania kazi yake ni kuwa 'WATCH DOG'kama serikali inashindwa kutekeleza kile ambacho wananchi wanakitaka lazima CHADEMA tuwakalie kooni.


HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE VIJANA WA CCM KAMA WANATAKA KUPAMBANA NA NGUVU YA UMMA WAJE WATATUKUTA

WAO WANA JESHI LA POLISI NA VYOMBO VYOTE VYA USALAMA CHADEMA TUNA MUNGU NA NGUVU YA UMMA 'DAIMA CHADEMA ITASHINDA NGUVU ZA HILA ZINAZOFANYWA NA MAGAMBA'
 
Kaka kauli hizi ni za utata na hapo ndio majibu ya novena ya lema, jana mwenyekiti wao kajiachia leo malisa kesho ..........
 

WAPI KAITAJA CDM HAPO? huku ndio kuweweseka.
 
Kumbe ana hamasisha wabunge wetu wachinjwe! Ana wambia wenzie wajibu mapigo kwa njia yeyote, amesahau kuwa wenzie hawana njia nyingine zaidi ya kutoa uhai wa viongozi wetu. Hajui kuwa nyinyiemu hakuna vijana tena.
 
Benno Malisa anataka kuimarisha kundi lile lililomchinja Mbwambo kule Usa River? Ni matumaini yangu kuwa Polisi na Usalama wa Taifa watafuatilia matamshi kama haya.
 

Malisa, nilikuwa nakuweka ktk group la vijana makini wa nchi hii, sasa angalia hapo kwenye blue ulivyowaambia wenzio mambo kinyumenyume! Aisee umegeuka bingwa wa reverse hivi hiviiiii! Pole mtani.
 
Malisa kwishney! Ubongo wake umemtangulia kuzeeka kuliko hali halisi ya mwonekano wake. Gharaghabhaho.
 
To him is one way of winning popularity, mind you unless he win popularity at this time 2015 he will not granted with funds for campaign
They are there not for the sake of the part rather for the sake of there life and there family, the promise to make a bridge even where there is no river, '' We will win the election you don't have to worry'' by saying that teh contest give them billions of money and after losing there said our election was nor fare appeal.
 
Aisifie.asiisifie mwenyewe kaona kwamba ngoma imepasuka.There is no point of return.

and that was my point, hatuhitaji hata Benno kusifia wala kukandya CDM, it is too late

dont be surprised ukasikia in a few years jamaa akaomba kuingia chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…